MATOKEO Geita Gold vs Yanga October 29 2022

Filed in Michezo by on 29/10/2022 0 Comments
Nijuze Habari Application

MATOKEO Geita Gold vs Yanga October 29 2022

  Yanga vs Geita October 29 2022, Young Africans SC vs Geita FC October 29 2022, Magoli waliyofunga Yanga vs Geita, Msimamo wa Ligi, Yanga vs Geita Mechi walizokutana, Head to head Yanga vs Geita Gold, Geita vs Yanga leo, LIVE Yanga SC Geita, Live Yanga v Geita Gold October 29 2022, Geita vs Yanga, Yanga SC vs Geita Gold.

MATOKEO Geita Gold vs Yanga October 29 2022

MATOKEO Geita Gold vs Yanga October 29 2022

BAO pekee la Penalti la Kiungo Mshambuliaji Bernard Morrison katika dakika ya 45 limetosha kuipa Yanga SC ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Geita Gold FC, Mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliofanyika leo kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.

Ushindi huo unaifanya Yanga kufikisha pointi 20 baada ya kucheza Michezo nane na kuendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi tano zaidi ya Namungo FC na Mtibwa Sugar ambazo zimecheza mechi tisa kila timu.

Taarifa zaidi za mchezo huo bofya HAPA

Mchezo dhidi ya Geita Gold unakuwa mchezo wa 45 kwa Young Africans bila kupoteza (unbeaten).

MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , , , , , , , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *