Nijuze Habari

MATOKEO Ismaily SC vs Simba SC, July 17,2022

Filed in Michezo by on 17/07/2022 0 Comments

MATOKEO Ismaily SC vs Simba SC, July 17,2022KLABU ya Simba SC leo Jumapili ya July 17,2022 imecheza mchezo wa kwanza wa kirafiki dhidi ya timu ya Ismaily SC ambayo inashiriki Ligi Kuu ya nchini Misri.MATOKEO Ismaily SC vs Simba SC, July 17,2022

Nijuze Habari Application

MATOKEO Ismaily SC vs Simba SC, July 17,2022

MATOKEO Ismaily SC vs Simba SC, July 17,2022KLABU ya Simba SC leo Jumapili ya July 17,2022 imecheza mchezo wa kwanza wa kirafiki dhidi ya timu ya Ismaily SC ambayo inashiriki Ligi Kuu ya nchini Misri.MATOKEO Ismaily SC vs Simba SC, July 17,2022

Mchezo huo umeisha kwa sare ya bao 1-1 na bao la Simba SC limefungwa na Mshambuliaji mpya Augustine Okrah.Ismaily SC vs Simba SC, July 17,2022

MAJINA ya Waliochaguliwa Ajira za Sensa 2022

MAKATO Mapya ya M-pesa July 01,2022

FAHAMU Jinsi ya kupata namba ya NIDA (NIN)

MATOKEO Ismailia SC vs Simba SCSimba imeweka kambi mjini Ismailia nchini Misri kujiandaa na msimu mpya wa 2022/2023.MATOKEO Ismailia SC vs Simba SC

Katika hatua nyingine, kiungo Mzamiru Yassin amesaini mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia Simba SC mpaka 2024.Mzamiru Yassin aongeza mkataba Simba SC

Mzamiru alitua Simba SC mwaka 2016 kutoka Mtibwa Sugar FC na sasa ataendelea kuwepo mpaka mwaka 2024.

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.