telegram Nijuze Habari

Matokeo Jwaneng Galaxy vs Simba SC

Filed in Michezo by on 17/10/2021 0 Comments
Nijuze Habari Application

MABINGWA wa Tanzania, Klabu ya Simba SC imeanza vyema kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 ugenini dhidi ya Jwaneng Galaxy kwenye Uwanja wa Taifa Mjini Gaborone nchini Botswana.

Mabao hayo ya ushindi yamefungwa na Nyota kutoka Uganda kiungo Thadeo Lwanga kwenye dakika ya 2 na mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, John Raphael Bocco dakika ya 5.

Baada ya ushindi huo sasa Simba inahitaji kuulinda ushindi wao kwenye mechi ya marudiano Jumapili ijayo ya October 22 ili kuweza kufuzu hatua ya makundi ya CAF Champions League.

MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *