telegram Nijuze Habari

Matokeo KMC FC vs Azam FC November 21,2021

Filed in Michezo by on 21/11/2021 0 Comments
Nijuze Habari Application

KLABU ya KMC FC imefanikiwa kuibuka na ushindi wa kwanza msimu huu wa 2021/2022 baada ya kuichapa Azam FC mabao 2-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara (NBC Premier League) kwenye Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.

Mabao ya KMC FC yamefungwa na Matheo Anthony Simon dakika ya 12 na Hassan Salum Kabunda dakika ya 89, huku la Azam FC likifungwa na Mshambuliaji Mzambia, Charles Zullu kwenye dakika ya 42.

Baada ya ushindi huo, KMC inafikisha pointi tano na kupanda kwa nafasi mbili kutoka mkiani katika Msimamo wa Ligi Kuu yenye jumla timu ya timu 16.

MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *