Matokeo Simba Mtibwa Sugar October 30 2022

Filed in Michezo by on 31/10/2022 0 Comments
Nijuze Habari Application

MATOKEO + Magoli Simba Mtibwa Sugar October 30 2022

Mtibwa Sugar FC vs Simba SC October 30 2022, Matokeo Mtibwa Sugar FC vs Simba Sports Club ,, Matokeo Simba SC vs Mtibwa Sugar 30 October 2022, Matokeo Simba vs Mtibwa 30 October 2022, Simba vs Mtibwa NBC Premier League, Magoli ya Simba vs Mtibwa Sugar, Magoli ya Simba SC vs Simba, Mgoli ya Mtibwa vs Simba leo, Simba vs Mtibwa leo, Matokeo ya Simba vs Mtibwa Ligi Kuu, Simba vs Mtibwa Sugar FC.

MATOKEO + Magoli Simba Mtibwa Sugar October 30 2022

MATOKEO + Magoli Simba Mtibwa Sugar October 30 2022

KLABU ya Simba SC z kimefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC uliopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Mabao ya Simba SC yalifungwa na viungo, Mzawa Mzamiru Yassin dakika ya 38, Pape Ousmane Sakho mawili dakika ya 48 na 90, Augustine Okrah dakika ya 63 na Mshambuliaji Moses Phiri dakika 72.

Kwa ushindi huo, Simba SC inafikisha pointi 17 na kupanda hadi nafasi ya pili, wakizidiwa pointi tatu na Mabingwa watetezi, Yanga SC baada ya wote kucheza mechi nane, wakati Mtibwa Sugar ikibaki na pointi zake 15 baada ya michezo 10 wakishukia hadi nafasi ya nne kwenye Msimamo.

Taarifa zaidi za mchezo mchezo huo pamoja na magoli yote matano na Msimamo bofya HAPA.

MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *