Matokeo NBC Premier League November 26,2021

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


KLABU ya Ruvu Shooting FC imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Kagera Sugar, mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League) leo kwenye Uwanja wa nyumbani wa Ruvu Shooting wa Mabatini, Mlandizi mkoani Pwani.
Mabao ya Ruvu Shooting FC yamefungwa na Zuberi Dabi dakika ya 30 na Rashid Juma dakika ya 84, wakati la Kagera Sugar likifungwa na Ally Nassor mapema dakika ya 08.
Baada ya matokeo hayo, Ruvu Shooting inafikisha pointi tisa na kusogea hadi nafasi ya sita, wakati Kagera Sugar inabaki na pointi zake nane katika nafasi ya 7 baada ya timu zote kucheza mechi saba za NBC Premier League.
Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.
Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA
Tags: Matokeo Ligi Kuu Tanzania Bara, Matokeo NBC Premier League, Matokeo NBC Premier League November 26 2021, Matokeo Ruvu Shooting FC vs Kagera Sugar FC