Nijuze TV App Nijuze Habari Teregram Channel Nijuze Habari WhatsApp group Nijuze Habari Instagram
telegram Nijuze Habari

Matokeo Ruvu Shooting FC vs Namungo FC December 03 2021

Filed in Michezo by on 03/12/2021 0 Comments
Nijuze Habari Application

KLABU ya Namungo FC imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya wenyeji, Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwenye Uwanja wa Mabatini, Mlandizi mkoani Pwani.

Mabao ya Namungo FC yamefungwa na Relliant Lusajo dakika ya 37 na Jacob Massawe dakika ya 58, wakati la Ruvu Shooting likifungwa na Rashid Juma dakika ya 46.

Kwa ushindi huo, Namungo FC inafikisha pointi tisa na kupanda nafasi ya saba, wakati Ruvu Shooting ikibaki na pointi zake tisa katika nafasi ya nane baada ya wote kucheza mechi nane.

MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *