Nijuze Habari App

MATOKEO Simba Queens The Tigers December 14 2022

Filed in Michezo by on 15/12/2022 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

MATOKEO Simba Queens The Tigers December 14 2022

Matokeo Simba Queens vs The Tigers, Matokeo Simba Queens vs The Tigers Ligi Kuu ya Wanawake, Simba Queens vs The Tigers, Matokeo Simba Queens vs The Tigers Serengeti Premium Lite League, Matokeo Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania, Matokeo Simba Queens vs The Tigers Serengeti Premium Lite Tanzania.

MATOKEO Simba Queens The Tigers December 14 2022

MATOKEO Simba Queens The Tigers December 14 2022

TIMU ya Wanawake ya Simba Queens imefanikiwa kuibuka na Ushindi mnono wa mabao 4-0 dhidi ya The Tigers katika mchezo wa Serengeti Lite Women’s Premier League uliopigwa December 15 2022 kwenye Uwanja wa Black Rhino, Karatu.

Nahodha Opa Clement ndiye aliyekuwa wa kwanza kuipatia Simba Queens bao la kuongoza kwenye dakika ya pili baada ya kuwazidi ujanja walinzi wa The Tigers.

Bao hilo lilidumu mpaka kipindi cha kwanza kinamalizika mpaka dakika ya 48 Simba Queens ilipopata bao la pili kupitia kwa Pambani Kuzoya kabla ya kuongeza la tatu dakika ya 52.

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

Opa akakamilisha karamu ya mabao baada ya kufunga la nne akiwazidi kasi walinzi wa Tigers na kuachia shuti la chini chini lililomshinda mlinda mlango.

Kocha Charles Lukula katika mchezo huo alifanya mabadiliko kwa kuwatoa Vivian Corazone na Joelle Bukuru na kuwaingiza Fatuma Issa ‘Fetty Densa’, pamoja na Amina Ramadhani.

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Donwlod HAPA SISI kwetu Michezo ndo Furaha yetu.

Nipashe Michezo, Nijuze Michezo, Simba sc leo, Global Publishers michezo, saleh jembe michezo, Yanga leo, Shaffih dauda michezo, michezo, Magazeti, Usajili, Habari.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , , , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *