Nijuze Habari

MATOKEO Simba SC dhidi ya Haras El Hodoud July 27,2022

Filed in Michezo by on 27/07/2022 0 Comments

MATOKEO Simba SC dhidi ya Haras El Hodoud July 27,2022

Nijuze Habari Application

MATOKEO Simba SC dhidi ya Haras El Hodoud July 27,2022

MATOKEO Simba SC dhidi ya Haras El Hodoud July 27,2022

MCHEZO wa Kirafiki uliopigwa katika Mjini wa Cairo umemalizika kwa Simba SC kupoteza kwa mabao 20 dhidi ya Haras El Hodoud ambao wamepanda Daraja kucheza Ligi Kuu nchini Misri msimu ujao.

MATOKEO Simba SC dhidi ya Haras El Hodoud July 27,2022Haras walianza mpira kwa kasi ambapo walifanikiwa kupata bao la mapema dakika ya pili kwa mkwaju wa penati lililofungwa na Mahmoud Guda.

Mshambuliaji Moses Phiri alishindwa kuendelea na mchezo na kutolewa dakika ya 41 baada ya kupata maumivu nafasi yake ikachukuliwa na Victor Akpan.MATOKEO Simba SC dhidi ya Haras El Hodoud July 27,2022

Iliwachukua dakika 10 baada ya Kipindi cha pili Haras kuongeza bao la pili lililofungwa na Mahmoud Mamduh baada ya kuwazidi ujanja walinzi wa Simba SC.

Kocha Zoran Maki alifanya mabadiliko ya kuwatoa Gadiel Michael, Clatous Chama na Augustine Okrah na kuwaingiza Nassoro Kapama, Erasto Nyoni na Habib Kyombo.

Aidha, Kocha Zoran aliwatoa Joash Onyango na Jonas Mkude na kuwaingiza Taddeo Lwanga na Jimmyson Mwanuke.

Mchezo huo ni wa tatu wa Kirafiki kwa Simba SC kujipima nguvu nchini Misri ambapo Kocha Mkuu wa Simba SC, Zoran Maki anaendelea kukiandaa Kikosi Cha Simba SC tayari kwa kuanza msimu mpya wa Ligi 2022/2023.

Mchezo wa kwanza wakicheza dhidi Ismaily SC inayoshiriki Ligi Kuu ya nchini Misri na kuambulia sare ya bao 1-1 kisha wakacheza dhidi ya Abou Hamad na kufanikiwa kuibuka na ushindi mnono wa mabao 60.

KIKOSI Cha Simba SC kilichoanza dhidi ya Haras El Hodoud, Leo Jumatano ya July 27,2022.

1:Beno Kakolanya
2:Israel Mwenda
3:Gadiel Michael
4:Biashara Onyango
5:Henock Inonga
6:Jonas Mkude
7:Peter Banda
8:Clatous Chama
9:Moses Phiri
10:Augustine Okrah
11:Pape Ousmane Sakho

Wachezaji wa Akiba
12:Ally Salim
13:Erasto Nyoni
14:Nassor Kapama
15:Jimmyson Mwanuke
16:Thadeo Lwanga
17:Meddie Kagere
18:Victor Akpan
19:Habibu Kyombo

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.