Nijuze Habari

MATOKEO Simba SC vs Al Akhdod July 23,2022

Filed in Michezo by on 23/07/2022 0 Comments

Simba SC vs Al Akhdod July 23,2022MCHEZO wa Kirafiki Kati ya Simba SC dhidi ya Al Akhdod inayoshiriki Ligi Daraja la Pili nchini Saudi Arabia Leo Jumamosi July 23, 2022 umeisha kwa Simba kuibuka na ushindi mnono wa mabao 6-0.

Nijuze Habari Application

MATOKEO Simba SC vs Al Akhdod July 23,2022

Simba SC vs Al Akhdod July 23,2022MCHEZO wa Kirafiki Kati ya Simba SC dhidi ya Al Akhdod inayoshiriki Ligi Daraja la Pili nchini Saudi Arabia Leo Jumamosi July 23, 2022 umeisha kwa Simba kuibuka na ushindi mnono wa mabao 6-0.

Simba SC vs Al Akhdod July 23,2022

Huo unakuwa mchezo wa pili wa Kirafiki kwa Simba SC nchini Misri baada ya Jumapili iliyopita July 17,2022 kucheza dhidi ya Ismaily SC ambayo inashiriki Ligi Kuu ya nchini Misri.

Mchezo huo wa Kwanza uliisha kwa sare ya bao 1-1 na bao la Simba SC likifungwa na Mshambuliaji wake mpya Augustine Okrah.

MATOKEO Simba SC vs Al Akhdod July 23,2022Simba imeweka kambi Mjini Ismailia nchini Misri kujiandaa na msimu mpya wa 2022/2023.

Mabao ya Simba yamefungwa na Moses Phiri, Jonas Mkude, Meddie Kagere, Pape Ousmane Sakho mawili na Erasto Nyoni.

Ulikuwa mchezo mzuri kwa Simba, huku Kocha Mkuu wa Klabu hiyo Zoran Maki akipata nafasi ya kujaribu mbinu zake kwa Wachezaji wapya na waliokuwepo Kikosini.

MATOKEO Simba SC vs Al Akhdod July 23,2022Kikosi Cha Simba SC kilichoanza kwenye mchezo wa Kirafiki Leo Jumamosi July 23,2022 dhidi ya Al-Okhdood Club ya Saudi Arabia.

1:Ally Salim
2:Israel Patrick
3:Gadiel Michael
4:Joash Onyango
5:Henock Inonga
6:Victor Akpan
7:Moses Phir
8:Jonas Mkude
9:Habib Kyombo
10:Clatous Chama
11:Augustine Okrah

telegram Nijuze Habari

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.