Nijuze Habari App

MATOKEO Simba SC vs Al Hilal (Mechi ya Kirafiki August 31, 2022)

Filed in Michezo by on 01/09/2022 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

MATOKEO Simba SC vs Al Hilal (Mechi ya Kirafiki August 31, 2022)

Matokeo Simba sc vs Al Hilal August 31 2022, Live Updates Simba vs Al Hilal, which is located in Dar es Salaam, Tanzania, is home to the Simba Sports Club, which is a football club, Matokeo Simba vs Al Hilal, Matokeo Al Hilal vs Simba SC, Matokeo Simba vs Al Hilal, Matokeo Al Hilal vs Simba, Simba vs Al Hilal, Al Hilal vs Simba Leo, Matokeo Simba vs Al Hilal Leo.

MATOKEO Simba SC vs Al Hilal (Mechi ya Kirafiki August 31, 2022)

The club, which was established in 1936 after separating from another Tanzania team known as the Dar Young Africans Giants, was given the name Queens in honor of her Majesty, the Queen of England.

After being known as the Queens, the club then became the Eagles, and finally settled on the name Sunderland. They changed their name to Simba in 1971. (Swahili for “Lion”).MATOKEO Simba SC vs Al Hilal (Mechi ya Kirafiki August 31, 2022)

Simba SC have competed in the CAF Champions League many times and have won 21 league titles, in addition to winning five domestic cup competitions. As a result of their six victories in the CECAFA Club Championship, they are also considered one of the most successful clubs in East Africa.

Benjamin Mkapa Stadium is the location of all of Simba’s home matches. Simba was the most rapidly expanding Instagram account among football teams in 2022, with 1.9 million followers and an increase of 89% over the previous year’s total number of followers.MATOKEO Simba SC vs Al Hilal (Mechi ya Kirafiki August 31, 2022)

Mchezo wa mwisho wa Simba SC wa Kimataifa wa Kirafiki dhidi ya Al Hilal, uliopigwa kwenye Uwanja wa Al Hilal nchini Sudan umemalizika kwa Simba kupoteza kwa bao 1-0.

Kwenye Mchezo huo, mlinzi wa kushoto Gadiel Michael alishindwa kuendelea na kulazimika kutolewa dakika ya 17 baada ya kuumia ambapo nafasi yake imechukuliwa na Nelson Okwa.

John Mano ndiye aliyewapatia Al Hilal bao hilo pekee kwa kichwa dakika ya 61 baada ya kumalizia mpira wa krosi uliopigwa na Ahmed.

Mwenyekiti wa Klabu ya Simba SC upande wa wanachama, Murtaza Mangungu akimkabidhi zawadi ya jezi Mweka Hazina wa Al Hilal, Farik Yahya Mohammad huku na yeye akimkabidhi ngao kama ishara ya shukrani na kuimarisha mshikamano uliopo baina ya Klabu hizo.

Baada ya kupokea zawadi hiyo, Farik ameushukuru Uongozi wa klabu ya Simba kwa kuonyesha mshikamano huku akisisitiza usiishie hapa bali uendelee.

“Tunawashukuru kwa ushirikiano mkubwa mliotupatia, tumefurahi kwa zawadi na tunaamini urafiki huu utaendelea baada ya hapa,” amesema Farik.

Al Hilal waliialika Simba SC kushiriki michuano maalum kwaajili ya kuandaa timu hizo kuelekea Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika michuano ambayo Timu ya Asante Kotoko kutoka Ghana ilishiriki pia.

Kikosi cha Simba SC kilichoanza dhidi Al Hilal Mchezo wa Kirafiki Leo Jumatano August 31,3022.

1:Ally Salim
2:Jimmyson Mwanuke
3:Gadiel Michael
4:Nassor Kapama
5:Henock Inonga
6:Israel Mwenda
7:Pape Ousmane Sakho
8:Augustine Okrah
9:Dejan Georgijević
10:Clatous Chama (C)
11:Peter Banda

Wachezaji wa Akiba
12:Ahmed Feruz
13:Moses Phiri
14:Nelson Okwa

Kikosi Cha Al Hilal vs Simba SC

With a total budget of Sh 6.1 Billion (or about $5.3 million) disclosed for the 2019/2020 season, the club is one of the wealthiest in all of East Africa.MATOKEO Simba SC vs Al Hilal (Mechi ya Kirafiki August 31, 2022)

Muda wa Mechi Simba vs Al-Hilal Leo tatehe 31 August 2022 ni saa 20:00 Hours, saa 2:00 Usiku.

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

Simba Sc
Full name Simba Sports Club
Founded 1936; 86 years ago
Ground Benjamin Mkapa Stadium

Dar es Salaam, Tanzania
Capacity 60,000
Owner Simba club members have 51 % and Investor Mohammed Dewji (MO) have 49% of club share.MATOKEO Simba SC vs Al Hilal (Mechi ya Kirafiki August 31, 2022)

Chairman Salim Abdallah
League Tanzanian Premier League
2021-22 Tanzanian Premier League, 2nd of 18

Website Club website

Stadium : Simba Sc vs Al Hilal 31 August 2022

The Al-Hilal Stadium (Arabic: الجوهرة الزرقاء) is a multi-use stadium located in Omdurman, Khartoum State, Sudan. It is mostly used for football matches and is also used for athletics. It is the home of Al-Hilal Club and has a capacity of 25,000.

Matokeo Simba sc vs Al Hilal August 31 2022, Live Updates Simba vs Al Hilal, which is located in Dar es Salaam, Tanzania, is home to the Simba Sports Club, which is a football club, Matokeo Simba vs Al Hilal, Matokeo Al Hilal vs Simba SC, Matokeo Simba vs Al Hilal, Matokeo Al Hilal vs Simba, Simba vs Al Hilal, Al Hilal vs Simba Leo, Matokeo Simba vs Al Hilal Leo.MATOKEO Simba SC vs Al Hilal (Mechi ya Kirafiki August 31, 2022)

At the opening celebration on Friday, 26 January 1968, Al-Hilal played against the visiting Ghana national football team. The match ended in a 1-1 draw.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *