Nijuze Habari

MATOKEO Simba SC vs Al-Kholood Club August 01,2022

Filed in Michezo by on 01/08/2022 0 Comments

KLABU ya Simba SC imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Al Kholood inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza nchini Saudi Arabia.MATOKEO Simba SC vs Al-Kholood Club August 01,2022

Nijuze Habari Application

MATOKEO Simba SC vs Al-Kholood Club August 01,2022MATOKEO Simba SC vs Al-Kholood Club August 01,2022

KLABU ya Simba SC imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Al Kholood inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza nchini Saudi Arabia.MATOKEO Simba SC vs Al-Kholood Club August 01,2022

Mlinzi wa kushoto Gadiel Michael ndiye aliyekuwa wa kwanza kuipatia Simba SC bao la kwanza kwenye dakika ya 27 baada ya kupokea pasi kutoka kwa mshambuliaji Habib Kyombo.

MATOKEO Simba SC vs Al-Kholood Club August 01,2022

Kiungo Mshambuliaji Augustine Okrah akaipatia Simba SC bao la pili na la ushindi kwenye dakika ya 44 baada ya kupokea pasi kutoka kwa Gadiel.

MATOKEO Simba SC vs Al-Kholood Club August 01,2022Kocha Mkuu Zoran Maki, alifanya mabadiliko kwa kuwatoa Henock Inonga, Pape Sakho, Augustine Okrah, Beno Kakolanya, Habib Kyombo na kuwaingiza Erasto Nyoni, Clatous Chama, Moses Phiri, Jimmyson Mwanuke na Ally Salim.

MATOKEO Simba SC vs Al-Kholood Club August 01,2022Mchezo wa leo ulikuwa wanne wa kirafiki tangu timu hiyo ifike nchini Misri kwaajili ya kambi ya maandalizi kuelekea msimu mpya wa ligi 2022/2023, lakini pia ndio mchezo wa mwisho wa Kirafiki nchini humo kabla ya kurejea nchini kwaajili ya Tamasha la Simba Day August 08,2022 kwenye Dimba la Mkapa.MATOKEO Simba SC vs Al-Kholood Club August 01,2022

Mchezo wa kwanza Simba walicheza dhidi Ismaily SC inayoshiriki Ligi Kuu ya nchini Misri na kuambulia sare ya bao 1-1 kisha wakacheza dhidi ya Abou Hamad na kufanikiwa kuibuka na ushindi mnono wa mabao 60, huku mchezo wa tatu wakipoteza kwa mabao 2–0 dhidi ya Haras El Hodoud.MATOKEO Simba SC vs Al-Kholood Club August 01,2022

KIKOSI Cha Simba SC vs Al-Kholood Club August 01,2022

KIKOSI Cha Simba SC vs Al-Kholood Club August 01,2022KIKOSI Cha Simba SC dhidi Al-Kholood Club inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza nchini Saudi Arabia, Mchezo wa Kirafiki wa nne nchini Misri Leo Jumatatu August 01,2022 Saa 20:30.

1:Beno Kakolanya
2:Israel Mwenda
3:Gadiel Michael
4:Joash Onyango (C)
5:Henock Inonga
6:Jonas Mkude
7:Pape Ousmane Sakho
8:Victor Akpan
9:Habibu Kyombo
10: Augustine Okrah
11:Peter Banda

Wachezaji wa Akiba
12:Ally Salim
13:Erasto Nyoni
14:Clatous Chama
15:Moses Phiri
16:Jimmyson Mwanuke

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.