telegram Nijuze Habari

Matokeo Simba SC vs Coastal Union FC

Filed in Michezo by on 01/11/2021 0 Comments
Nijuze Habari Application

MABINGWA watetezi, Simba SC wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Klabu ya Coastal Union FC kutoka Tanga, mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara (NBC Premier League) uliofanyika kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Timu zote zilimaliza pungufu baada ya mchezaji mmoja kila upande kutolewa kwa kadi nyekundu, wakianza Coastal kumpoteza Benedictor Jacob Mwamlangwa dakika ya 29, kabla ya Simba kumpoteza beki wake Mkongo, Hennock Inonga Baka ‘Verane’ dakika ya 90.

SIimba SC inafikisha pointi nane na Coastal imetimiza pointi tatu katika mchezo wa nne kila timu  na hivi ndivyo hali ilivyo kwenye Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League).

MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *