telegram Nijuze Habari

MATOKEO Simba SC vs De Agosto October 16 2022 | CAF Champions League

Filed in Michezo by on 16/10/2022 0 Comments
Nijuze Habari Application

MATOKEO Simba SC vs De Agosto October 16 2022 | CAF Champions League

Matokeo ya Simba vs De Agosto Leo, Simba vs De Agosto CAF Champions League 2022, Kikosi Cha Simba vs De Agosto Leo Jumapili, Matokeo Simba vs De Agosto October 16 2022, Matokeo Simba vs De Agosto CAF Champions League, Matokeo ya Simba SC dhidi De Agosto Leo, Kikosi cha Simba vs De Agosto October 16 2022, Muda wa mechi Simba vs De Agosto, Muda wa Mchezo Simba vs De Agosto, Matokeo De Agosto vs Simba Leo tarehe 16.10.2022, De Agosto vs Simba SC October 16 2022, Matokeo Simba vs De Agosto, Simba SC vs Clube Desportivo de Agosto 16 October 2022

MATOKEO Simba SC vs De Agosto October 16 2022 | CAF Champions League

MATOKEO Simba SC vs De Agosto October 16 2022 | CAF Champions League

KLABU ya Simba SC imefanikiwa kutinga hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika baada ya kuifunga Premiero De Agosto kutoka Angola bao 1-0 katika mchezo uliopigwa Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Simba imetinga katika hatua hiyo kwa ushindi wa jumla wa mabao 4-1 kufuatia ushindi wa 3-1 ilioupata katika mchezo wa mkondo wa kwanza uliopigwa Uwanja wa Novemba 11 nchini Angola wiki moja iliyopita.

Mshambuliaji kinara wa Simba SC, Moses Phiri ndiye aliyeipatia bao hilo pekee kwenye dakika ya 33 baada ya kupokea pasi safi kutoka kwa beki na Nahodha Msaidizi Mohamed Hussein na kupiga shuti kali la chini chini lililomshinda mlinda mlango wa De Agosto.

SIMBA yatinga Makundi CAF Champions League


SIMBA yatinga Makundi CAF Champions League

Taarifa zaidi ya mchezo huu bofya HAPA

MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *