Nijuze Habari

MATOKEO Simba SC vs Mbeya City FC, June 16,2022

Filed in Michezo by on 16/06/2022 0 Comments

MATOKEO Simba SC vs Mbeya City FC, June 16,2022Simba SC vs Simba SC, Simba SC, Mbeya City FC, Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba Sports Club, ASFC, Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la TFF, Simba SC, Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Mbeya City FC vs Simba SC, Mbeya City FC, Simba SC, Simba vs Mbeya, Mbeya vs Simba, Ligi Kuu Tanzania Bara, NBC Premier League, Ligi Kuu.MATOKEO Simba SC vs Mbeya City FC, June 16,2022

Nijuze Habari Application

WENYEJI wa mchezo Simba SC, wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mbeya City, mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

MATOKEO Simba SC vs Mbeya City FC, June 16,2022Mabao ya Simba katika mchezo huo yamefungwa na Pape Ousmane Sakho mawili, dakika ya 38 kwa penalti na 55 na Peter Banda dakika ya 76.

Baada ya ushindi huo Simba SC imefikisha pointi 54 baada ya kucheza michezo 26 ingawa inabaki nafasi ya pili nyuma ya mabingwa wapya Young Africans SC wenye pointi 67 za michezo 27 huku Mbeya City ikibaki na pointi zake 32 za michezo 27 ikiwa nafasi ya 10.MATOKEO Simba SC vs Mbeya City FC, June 16,2022

Mechi iliyotangulia, Polisi Tanzania imewachapa wenyeji Namungo FC mabao 2-1 kwenye Uwanja wa Ilulu mjini Lindi.

MATOKEO Namungo FC vs Polisi Tanzania FC June 16,2022Bao la Namungo limefungwa Hussein Bakari wa aliyejifunga dakika ya pili, kabla ya Tariq Seif kuisawazishia Polisi Tanzania dakika ya 45 na kufunga la ushindi dakika ya 70.

MATOKEO Namungo FC vs Polisi Tanzania FC June 16,2022Ushindi huo umeifanya Polisi kufikisha pointi 36 na kusogea hadi nafasi ya sita, huku Namungo FC ikibaki na pointi zake 37 katika nafasi ya tano baada ya wote kucheza michezo 27.

UNAWEZA PIA KUSOMA👇👇👇

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.