Nijuze Habari

MATOKEO Simba SC vs Mtibwa Sugar FC NBC Premier League June 23,2022

Filed in Michezo by on 23/06/2022 0 Comments

MATOKEO Simba SC vs Mtibwa Sugar FC NBC Premier League June 23,2022Simba SC vs Mtibwa Sugar FC, Simba SC, Mtibwa Sugar FC, Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba Sports Club, Simba SC, Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Mtibwa Sugar FC vs Simba SC, Mtibwa Sugar FC, Simba SC, Simba vs Mtibwa, Mtibwa FC vs Simba, Ligi Kuu Tanzania Bara, NBC Premier League, Ligi Kuu, Mtibwa Sugar FC.

Nijuze Habari Application

MATOKEO Simba SC vs Mtibwa Sugar FC NBC Premier League June 23,2022

MATOKEO Simba SC vs Mtibwa Sugar FC NBC Premier League June 23,2022Simba SC vs Mtibwa Sugar FC, Simba SC, Mtibwa Sugar FC, Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba Sports Club, Simba SC, Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Mtibwa Sugar FC vs Simba SC, Mtibwa Sugar FC, Simba SC, Simba vs Mtibwa, Mtibwa FC vs Simba, Ligi Kuu Tanzania Bara, NBC Premier League, Ligi Kuu, Mtibwa Sugar FC.

MATOKEO Simba SC vs Mtibwa Sugar FC NBC Premier League June 23,2022KLABU ya Simba SC imewaaga mashabiki wao kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Mtibwa Sugar FC, mchezo wa mwisho wa nyumbani msimu huu wa 2021/2022 wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League) uliofanyika kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam

Nyota Pape Ousmane Sakho ndiye aliyeanza kuifungia Simba SC bao la kwanza katika dakika ya 16 akimalizia pasi ya Kibu Dennis, kabla ya kumsetia kiungo mwenzake Peter Banda na kufunga bao la pili na la ushindi kwenye dakika ya 43.

MATOKEO Simba SC vs Mtibwa Sugar FC NBC Premier League June 23,2022Huo ni mchezo wa tatu mfululizo Simba ikiibuka na ushindi chini ya kocha wa muda Suleiman Matola baada ya kocha Pablo Franco Martin kufutwa kazi.

Kwa ushindi huo, Simba inafikisha pointi 60 ingawa inabaki nafasi ya pili ikizidiwa pointi 10 na mabingwa wapya Young Africans SC baada ya wote kucheza michezo 28 kuelekea mechi mbili kukamilisha msimu huu wa (NBC Premier League 2021/2022)

Mtibwa Sugar wenyewe baada ya kipigo cha leo wanabaki na pointi zao 31 baada ya kucheza michezo 28 ikiwa nafasi ya 12 katika Ligi ya timu 16 ambayo mwisho wa msimu mbili zitateremka daraja.

UNAWEZA PIA KUSOMA PIA👇

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.