telegram Nijuze Habari

MATOKEO Simba SC vs RS Berkane March 13 2022

Filed in Michezo by on 14/03/2022 0 Comments
Nijuze Habari Application

MATOKEO Simba SC vs RS Berkane, March 13,2022

Simba SC, Simba, Simba Sports Club, Msimbazi Dar es salaam, Simba SC vs US Gendarmerie Nationale, CAF Confederation Cup, Kombe la Shirikisho Barani Afrika, Kombe la Shirikisho, RB Berkane, ASES Mimosas, Simba Nguvu Moja, Simba Tanzania, Simba SC Tanzania, Ligi Kuu Tanzania Bara, NBC Premier League, Union Sportive de la Gendarmerie Nationale, Stade Général Seyni Kountché, Union Sportive de la Gendarmerie Nationale is a Nigerien football club based in Niamey, Simba SC vs RS Berkane.

BAO la Pape Ousmane Sakho dakika ya 44 limetosha kuimeipa Simba SC ushindi wa bao 1-0 dhidi ya RS Berkane ya Morocco, Mchezo wa Kundi D Kombe la Shirikisho Barani Afrika kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Ushindi huo unaifanya Simba SC yanye makazi yake mtaa wa Msimbazi Jijini Dar es salaam ifikishe pointi saba na kupanda kileleni mwa kundi hilo, ikiizidi pointi moja ASEC Mimosas na RS Berkane zenye pointi 6.

Mechi nyingine ya Kundi hilo iliyochezwa mjini Cotonou nchini Benin ASEC Mimosas ya Ivory Coast ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya US Gendamarie Nationale ya Niger na kukamilisha mzunguko wa nne wa Kundi D Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF Confederation Cup)

MSIMAMO wa kundi D Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF Confederation Cup) baada ya kukamilika kwa Mzunguko wa Nne wa Kundi hilo.

MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *