MATOKEO Simba vs Dar City 19 November 2023
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA
JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA
AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
MATOKEO Simba vs Dar City 19 November 2023
KLABU ya Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Dar City ya Daraja la Kwanza katika mchezo wa kirafiki uliofanyika leo asubuhi kwenye Uwanja wa Mo Arena, Bunju Jijini Dar es Salaam.
Mabao ya Simba SC katika mchezo huo wa kujiandaa na mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya Makundi yamefungwa na Che Malone Fondoh na Leandre Willy Essomba Onana, Israel Patrick Mwenda na Moses Phiri.
Simba inatarajiwa kucheza mchezo wake wa kwanza wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast Jumamosi ya November 25, 2023 kwenye Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam Kuanzia Saa 10:00 jioni.
Katika mchezo huo kocha Daniel Cadena alifanya mabadiliko ya kuwatoa Mzamiru Yassin, Willy Onana, Che Malone na Ayoub Lakred huku nafasi zao zikichukuliwa na Abdallah Khamis, David Kameta, Nassor Kapama na Ally Salim.
MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.
Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.
Kikosi kilichoanza kwenye mchezo kulikuwa hivi;
1:Ayoub Lakred
2:Israel Patrick
3:Mohamed Hussein
4:Hussein Kazi
5:Kennedy Juma
6:Che malone
7:Fabrice Ngoma
8:Mzamiru Yassin
9:Shaban Chilunda
10:Moses Phiri
11Willy Onana

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Tags: Matokeo Simba SC vs Dar City FC, MATOKEO Simba vs Dar City 19 November 2023, Simba 4 - 0 Dar City, Simba vs Dar City, Simba vs Dar City FC mchezo wa Kirafiki.