Nijuze Habari

Matokeo Simba vs JKT Tanzania (ASFC)

Filed in Michezo by on 14/12/2021 0 Comments
Nijuze Habari Application

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Klabu ya Simba SC imefanikiwa kusonga mbele raundi ya nne (4) ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC).

Simba imefanikiwa kusonga katika hatua hiyo baada ya kufanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya JKT Tanzania FC kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Bao pekee la ushindi wa Simba SC limefungwa na mshambuliaji Mtanzania Kibu Dennis Prosper katika dakika ya 26.

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.