Nijuze Habari

Matokeo Simba vs Yanga + Msimamo

Filed in Michezo by on 11/12/2021 0 Comments
Nijuze Habari Application

Mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara (NBC Premier League) kati ya watani wa jadi, Simba na Yanga imemalizika kwa sare ya bila kufungana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Kwa sare hiyo, Young Africans inafikisha pointi 20 na kuendelea kuongoza Ligi kwa pointi mbili zaidi ya mabingwa watetezi, Simba SC baada ya wote kucheza mechi nane.

telegram Nijuze Habari

Tags: , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.