MATOKEO Singida Big Stars vs JKU SC Leo 18 August 2023
SHINDA 50,000 BURE KILA SIKU BONYEZA HAPA
AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
MATOKEO Singida Big Stars vs JKU SC Leo 18 August 2023
MATOKEO Singida Big Stars vs JKU FC Leo 18 August 2023, Klabu ya Singida Big Stars itacheza mchezo unaofuata dhidi ya JKU SC ya Zanzibar.
Mchezo huo wa hatua ya awali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika 2023/2024 unatarajiwa kupigwa August 18, 2023 kuanzia saa 1:30 Usiku kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamanzi, Singida Big Stars FC vs JKU SC, Singida BS vs JKU Zanzibar CAF Confederation Cup, Singida vs JKU.
Usikose Kuitazama mechi hii LIVE Kiganjani Mwako kupitia Nijuze TV App BUREEE kabisa Bofya HAPA Kudownload ili uweze Kutazama Mubashara Kiganjani Mwako Popote Duniani, Singida Big Stars vs JKU SC live score, Singida BS v JKU LIVE Leo 18.8.2023.
Live Score za Singida Big Stars Wachezaji, ratiba ya msimu huu na matokeo ya leo yanapatikana kwenye Nijuze Habari.Kwa ratiba na matokeo ya soka leo tembelea Nijuze Habari
MATOKEO Singida Big Stars vs JKU SC Leo 18 August 2023
Klabu ya Singida Fountain Gate ‘Big Stars’ imejiweka kwenye nafasi nzuri ya kusogea mbele kwenye Kombe la Shirikisho Afrika baada kufanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya JKU ya Zanzibar, mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam.
Mabao ya Singida Fountain Gate yalifungwa na Marouf Tchakei dakika ya nne na 39 yote kwa mikwaju ya penati, Maurice Chukwu dakika ya 44 na Duke Abuya dakika ya 47, huku la JKU likifungwa na Saleh Abdullah kwa mkwaju wa penati pia dakika ya 63.
MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.
Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.
Timu hizo zitarudiana August 27 hapo hapo Azam Complex na Mshindi wa jumla atakutana na Future ya Misri.
MATOKEO Singida Big Stars vs JKU SC Leo 18 August 2023, Matokeo Singida Big Stars vs JKU SC Leo 18 August 2023, Singida Big Stars vs JKU SC Leo 2023, Singida vs JKU SC, Singida BS vs JKU Live Leo, Singida Fountain Gate SC vs JKU sc Leo, Matokeo Singida Big Stars vs JKU LIVE leo.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya NBC (NBC Premier League 2023/2024)
- RATIBA ya Mechi za Simba SC Ligi Kuu Tanzania Bara 2023/2024
- RATIBA ya Mechi za Yanga SC Ligi Kuu Tanzania Bara 2023/2024
- RATIBA Kamili ya Ligi Kuu ya England Premier League 2023/2024
- FAHAMU Jinsi ya kupata namba ya NIDA (NIN)
- KIKOSI cha Yanga SC msimu wa 2023/2024
- KIKOSI cha Simba SC msimu wa 2023/2024
- JINSI ya Kupata TIN namba Online
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ADA za LIPA kwa Airtel Mitandao Yote
- TETESI za Usajili NBC Premier League 2023/2024
- FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024 | Makato mapya ya M-Pesa
- Ada zaAirtel Money 2022/2023 | Makato mapya ya Airtel Money
- ADA Mpya za Tigo Pesa (Tigo Pesa Tariffs 2022/2023)
- Ada/Makato ya HaloPesa Tanzania, Halopesa Tariffs 2023
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- Ada za M-Pesa Songesha 2022/2023
- FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Tags: Matokeo Singida Big Stars vs JKU LIVE leo., MATOKEO Singida Big Stars vs JKU SC Leo 18 August 2023, Singida Big Stars vs JKU SC Leo 2023, Singida BS vs JKU Live Leo, Singida Fountain Gate SC vs JKU sc Leo, Singida vs JKU SC