Nijuze Habari

MATOKEO Tanzania vs Niger June 04,2022 Kufuzu AFCON 2023

Filed in Michezo by on 04/06/2022 0 Comments

MATOKEO Tanzania vs Niger June 04,2022 Kufuzu AFCON 2023Taifa Stars will aim to start well in the qualification campaign when they come up against Le Mena The Mena in their Group F opener.

Nijuze Habari Application

MATOKEO Tanzania vs Niger June 04,2022 Kufuzu AFCON 2023

MATOKEO Tanzania vs Niger June 04,2022 Kufuzu AFCON 2023Taifa Stars will aim to start well in the qualification campaign when they come up against Le Mena The Mena in their Group F opener.

MATOKEO Tanzania vs Niger June 04,2022 Kufuzu AFCON 2023Tanzania will kick off their campaign to reach the 2023 Africa Cup of Nations finals in Ivory Coast with an away fixture against Niger at Stade de l’Amitie in Cotonou on Saturday.

The Taifa Stars, who are pooled in Group F alongside Le Mena The Mena, Uganda, and Algeria, will hope to make a return to the Afcon finals having missed out on the last edition held in Cameroon.

The last time the East African nation took part in the finals was in 2019 in Egypt when they failed to get past the group stage. They lost all their group matches against Kenya, Algeria, and Senegal.

MATOKEO Tanzania vs Niger June 04,2022 Kufuzu AFCON 2023TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imefanikiwa kupata na alama moja muhimu baada ya kulazimisha sare ya bao 1-1 dhidi ya Niger katika mchezo wa kuwania tiketi ya kufuzu michuano ya AFCON 2023 nchini Ivory Coast.

MATOKEO Tanzania vs Niger June 04,2022 Kufuzu AFCON 2023Tanzania ndio waliokuwa wa kwanza kupata bao kwenye dakika ya kwanza kupitia kwa Mshambuliaji wake George Mpole ambaye aliyemalizia mpira uliotemwa na mlinda lango wa Niger baada ya shuti kali la Saimon Msuva.

MATOKEO Tanzania vs Niger June 04,2022 Kufuzu AFCON 2023Niger walirejea mchezoni na dakika ya 26 wakisawazisha bao hilo kupitia kwa mshambuliaji wao hatari Daniel Sosah.

MATOKEO Tanzania vs Niger June 04,2022 Kufuzu AFCON 2023Ni alama moja muhimu kwa Tanzania kuelekea mchezo wa pili dhidi ya Algeria ambao unatarajiwa kupigwa June 08 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam.

MATOKEO Tanzania vs Niger June 04,2022 Kufuzu AFCON 2023UNAWEZA PIA KUSOMA👇👇👇

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.