MATOKEO | Tazama Hapa Matokeo ya Darasa la Nne, Kidato Cha Pili na Cha Nne

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


MATOKEO | Tazama Hapa Matokeo ya Darasa la Nne, Kidato Cha Pili na Cha Nne
Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) leo Jumamosi January 15, 2022 limetangaza Matokeo ya Mitihani wa Taifa wa Kidato cha Nne uliofanyika November 2021.
Matokeo hayo yametangazwa na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk. Charles Msonde ambapo pia Baraza hilo limetangaza Matokeo ya Mitihani ya Upimaji wa Kitaifa ya Darasa la nne na kidato cha pili 2021.
Akitangaza matokeo hayo, Dkt. Msonde amesema watahiniwa wa Shule 422,388 (87.30%) kati ya Watahiniwa 483,820 wamefaulu Mitihani yao ongezeko la ufaulu ni 1.46% ikilinganishwa na mwaka 2020.
➡️ MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE 2021
➡️MATOKEO HA MTIHANI WA MAARIFA 2021
➡️MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE 2021
➡️MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI 2021
Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.
Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA
Tags: Kidato Cha Pili na Cha Nne, MATOKEO | Tazama Hapa Matokeo ya Darasa la Nne, Matokeo ya Darasa la Nne 2022, Matokeo ya Kidato Cha Nne 2022, Matokeo ya Kidato Cha Pili 2022, Matokeo ya NECTA 2022