Nijuze Habari

Matokeo ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) September 29,2021

Filed in Michezo by on 29/09/2021 0 Comments
Nijuze Habari Application

Matokeo ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) September 29,2021

BAO pekee la kiungo Mzanzibar, Feisal Salum Abdallah ‘Fei Toto’ kwenye dakika ya 24 limeipa mwanzo mzuri Klabu ya Young Africans SC katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuichapa Kagera Sugar FC bao 1-0 jioni ya leo kwenye Uwanja wa Kaitaba, Bukoba mkoani Kagera.

Mechi nyingine ya Ligi Kuu Tanzania Bara iliyochezwa leo, mabao ya mshambuliaji Vitalis Mayanga dakika ya tatu na 20 yameipa Polisi Tanzania FC ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya KMC, mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Black Rhino, Karatu mkoani Arusha.

telegram Nijuze Habari

Tags: , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.