Nijuze Habari

MATOKEO ya mwisho wagombea nafasi za Uongozi Uchaguzi Mkuu wa Yanga SC

Filed in Michezo by on 05/07/2022 0 Comments

1.Hersi Ally Said – anagombea nafasi ya Rais, amepitishwa baasa ya kukidhi vigezo vya kikatiba na kikanuni.

Nijuze Habari Application

MATOKEO ya mwisho wagombea nafasi za Uongozi Uchaguzi Mkuu wa Yanga SC

Yanga SCWagombea nafasi ya Rais na Makamu wa rais.

1.Hersi Ally Said – anagombea nafasi ya Rais, amepitishwa baasa ya kukidhi vigezo vya kikatiba na kikanuni.

2.Arafat Haji – anagombea nafasi ya Makamu wa rais, amepitishwa baasa ya kukidhi vigezo vya kikatiba na kikanuni.

3. Sumba Mwaitenda – anagombea nafasi ya Makamu wa rais, amepitishwa baada ya kukidhi vigezo vya kikatiba na kikanuni.

Wanaogombea ujumbe wa kamati ya Utendaji.

1.Sais Baraka Kambi – anagombea nafasi ya Ujumbe wa kamati ya Utendaji, amepitishwa baada ya kukidhi vigezo vya kikatiba na kikanuni.

2.Gerrard John Kihinga – anagombea nafasi ya Ujumbe wa kamati ya Utendaji, amepitishwa baada ya kukidhi vigezo vya kikatiba na kikanuni.

3.Saady Mohamed Khimji –
anagombea nafasi ya Ujumbe wa kamati ya Utendaji, amepitishwa baada ya kukidhi vigezo vya kikatiba na kikanuni.

4.Semi Yusuph Semi – anagombea nafasi ya Ujumbe wa kamati ya Utendaji, amepitishwa baada ya kukidhi vigezo vya kikatiba na kikanuni.

5.Seif Khamis Gulamali – anagombea nafasi ya Ujumbe wa kamati ya Utendaji, amepitishwa baada ya kukidhi vigezo vya kikatiba na kikanuni.

6.Munir Said Seleman – anagombea nafasi ya Ujumbe wa kamati ya Utendaji, amepitishwa baada ya kukidhi vigezo vya kikatiba na kikanuni.

7.Willbard Rularemwa Kilenzi – anagombea nafasi ya Ujumbe wa kamati ya Utendaji, amepitishwa baada ya kukidhi vigezo vya kikatiba na kikanuni.

8.Salim Seif Rupia – anagombea nafasi ya Ujumbe wa kamati ya Utendaji, amepitishwa baada ya kukidhi vigezo vya kikatiba na kikanuni.

9.Sylivester Benard Ilaule – anagombea nafasi ya Ujumbe wa kamati ya Utendaji, amepitishwa baada ya kukidhi vigezo vya kikatiba na kikanuni.

10.Leevan Spanish Maro – anagombea nafasi ya Ujumbe wa kamati ya Utendaji, amepitishwa baada ya kukidhi vigezo vya kikatiba na kikanuni.

11.Omary Hassan Kimossa – anagombea nafasi ya Ujumbe wa kamati ya Utendaji, amepitishwa baada ya kukidhi vigezo vya kikatiba na kikanuni.

12.Alexander Francis Ngai – anagombea nafasi ya Ujumbe wa kamati ya Utendaji, amepitishwa baada ya kukidhi vigezo vya kikatiba na kikanuni.

13.Dominick Albinus – anagombea nafasi ya Ujumbe wa kamati ya Utendaji, amepitishwa baada ya kukidhi vigezo vya kikatiba na kikanuni.

15.Benjamin Jackson Mwakasonda – anagombea nafasi ya Ujumbe wa kamati ya Utendaji, amepitishwa baada ya kukidhi vigezo vya kikatiba na kikanuni.

16.Yanga Evarest Makaga – anagombea nafasi ya Ujumbe wa kamati ya Utendaji, amepitishwa baada ya kukidhi vigezo vya kikatiba na kikanuni.

17.Mustapha Salumu Himba – anagombea nafasi ya Ujumbe wa kamati ya Utendaji, amepitishwa baada ya kukidhi vigezo vya kikatiba na kikanuni.

UNAWEZA PIA KUSOMA PIA👇

DOWNLOAD APP MPYA YA NIJUZE HABARI BURE HAPA

UPATE KUTAZAMA MECHI LIVE, MAGAZETI YA KILA SIKU ASUBUHI PAMOJA NA HABARI NYINGINE NYINGI.

TEMBEA NA DUNIA MKONONI MWAKO UKIWA NA APP HII, FURAHIA HABARI NA MATUKIO KILA WAKATI.

Download Bure App mpya ya Nijuze Habari kuweza kuangalia Mpira na utaweza kuona matokeo na ratiba ligi zote kubwa Duniani.

APP HII PIA INAKUSOGEZEA

👉Habari za Kitaifa na kimataifa kutoka vyanzo mbalimbali ndani na nje ya Tanzania
👉Habari za Michezo na Usajili ndani na nje ya Tanzania
👉Breaking News
👉Elimu na Afya
👉Kutazama Mechi Mubashara za ndani na nje ya Tanzania
👉Taarifa ya Habari kila siku na Vipindi Mbalimbali kutoka Local Tvs
👉Kusikiliza Radio Online
👉Kucheck Movie kutoka (Maisha Magic Bongo na Maisha Magic East n.k)
👉Audio na Videos mpya kila siku
👉 Ajira mpya kila siku
👉Gospel na Makala mbalimbali.

BOFYA 👉👉👉 HAPA KUDOWNLOAD BURE

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.