telegram Nijuze Habari

Matokeo ya Uchaguzi Bodi ya Ligi (TPLB

Filed in Michezo by on 04/12/2021 0 Comments
Nijuze Habari Application
MWENYEKITI wa Azam FC, Nassor Idrisa ‘Father’ ameshinda nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TPLB) katika uchaguzi uliofanyika jana kwenye hoteli ya Cate Mjini Morogoro.
Mwenyekiti wa Coastal Union, Steven Jarvis Mnguto amefanikiwa kutetea nafasi yake ya Uenyekiti wa Bodi kwa awamu nyingine tena tangu ampokee kijiti aliyekuwa Kaimu Mwenyekiti wa Young Africans, Clement Sanga mwaka 2018.
Ikumbukwe Kamati ya Uchaguzi ya TFF, chini ya Mwenyekiti, Wakili  Kiomoni Kibamba iliwaengua Mwenyekiti wa Young Africans SC, Dk Mshindo Mbette Msolla na wa Mwenyekiti wa Simba SC, Murtaza Ally Mangungu kwa sababu tofauti tofauti.
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *