Nijuze Habari App

MATOKEO ya Uhakiki wa NACTVET 2023/2024

Filed in Ajira, New by on 29/07/2023 0 Comments
Share This
 

SHINDA 50,000 BURE KILA SIKU BONYEZA HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

MATOKEO ya Uhakiki wa NACTVET 2023/2024

MATOKEO ya Uhakiki wa NACTVET 2023/2024, Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) linautaarifu umma kuwa matokeo ya uhakiki wa sifa za walioomba kujiunga na programu mbalimbali kwa awamu ya kwanza kwa mkupuo wa Septemba 2023/2024 yametoka rasmi tarehe 28 Julai, 2023.

Udahili kwa mwaka wa masomo 2023/2024 ulianza tarehe 21 Mei, 2023 hadi tarehe 16 Julai, 2023.

Waombaji wa programu za Astashahada na Stashahada walituma maombi ya kudahiliwa katika vyuo mbalimbali Tanzania Bara na visiwani.

Vyuo vilipokea maombi ya waombaji kisha kufanya uchaguzi kulingana na sifa za programu zinazotolewa na vyuo hivyo.

Jumla ya wombaji 24,774 kutoka vyuo 165 walichaguliwa na vyuo, na kuwasilishwa NACTVET kwa ajili ya uhakiki kuanzia tarehe 17-21 Julai, 2023.

MATOKEO YA UHAKIKI WA UDAHILI AWAMU YA KWANZA KATIKA PROGRAMU MBALIMBALI KWA MKUPUO WA SEPTEMBA 2023/2024

MATOKEO ya Uhakiki wa Matokeo ya NACTVET 2023/2024,MATOKEO ya Uhakiki wa NACTVET, Matokeo ya Uhakiki wa Udahili awamu ya Kwanza, www.nacte.go.tz result,www.nacte.go.tz log in,Student Information Verification, NACTE student Verification results, Majibu ya Uhakiki awamu ya Kwanza NACTE 2023/24,NACTE verification login,NACTE student verification Number,MFUMO WA UHAKIKI WA VYETI VYA DIPLOMA UMEFUNGULIWA, Nacte verification - Nacte Students Verification 2023/2024,Uhakiki wa Udahili NACTE Chuo/Kozi 2023/2024.Waombaji 22,729 sawa na (92%) ya waombaji wote (wanawake ni 11,910 (52%) na wanaume 10,819 (48%) wamekidhi vigezo vya kujiunga na programu walizochagua.

Aidha, jumla ya waombaji 1,922 sawa na (8%) ya waombaji wote hawakuwa na vigezo vya kujiunga kwenye programu walizochagua, wanawake ni 972 (51%) na wanaume ni 950 (49%).

Majina ya waombaji waliohakikiwa tayari yametumwa vyuoni.

Waombaji wote waliowasilishwa NACTVET kwaajili ya uhakiki wametumiwa ujumbe na msimbo (code) kupitia namba za simuzilizowasilishwa na vyuo.

Msimbo huo utatumika kuhakiki udahili wao na sifa kwenye programu walizochaguliwa kupitia tovuti ya NACTVET www.nacte.go.tz kwa kubofya kitufe cha “Verification results 2023”.

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

Waombaji waliohakikiwa na kuonekana kuwa hawakukidhi vigezo kwenye programu walizoomba, wanashauriwa kuomba programu zingine wakati wa awamu ya pili iliyoanza tarehe 28 Julai hadi 10 Septemba, 2023.

Matokeo ya uhakiki kwa awamu ya pili yatatolewa tarehe 2 Oktoba, 2023.

Masomo kwa waliochaguliwa yataanza rasmi tarehe 16 Oktoba, 2023.

NACTVET Verification link https://tvetims.nacte.go.tz/nstp/UhakikiResults.jsp

For more information visit official website link NACTVET Verification Results 2023

MATOKEO ya Uhakiki wa Matokeo ya NACTVET 2023/2024,MATOKEO ya Uhakiki wa NACTVET, Matokeo ya Uhakiki wa Udahili awamu ya Kwanza, www.nacte.go.tz result,www.nacte.go.tz log in,Student Information Verification, NACTE student Verification results, Majibu ya Uhakiki awamu ya Kwanza NACTE 2023/24,NACTE verification login,NACTE student verification Number,MFUMO WA UHAKIKI WA VYETI VYA DIPLOMA UMEFUNGULIWA, Nacte verification – Nacte Students Verification 2023/2024,Uhakiki wa Udahili NACTE Chuo/Kozi 2023/2024.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *