Nijuze Habari

MATOKEO ya Usaili wa awali Uchaguzi Mkuu Yanga SC

Filed in Michezo by on 19/06/2022 0 Comments

MATOKEO ya Usaili wa awali Uchaguzi Mkuu Yanga SCKAMATI ya Uchaguzi ya Yanga chini ya Mwenyekiti wake, Malangwe Ally Mchungahela imetoa matokeo ya awali ya Usaili kuelekea uchaguzi wa klabu hiyo July 10, 2022

Nijuze Habari Application

MATOKEO ya Usaili wa awali Uchaguzi Mkuu Yanga SC

MATOKEO ya Usaili wa awali Uchaguzi Mkuu Yanga SCKAMATI ya Uchaguzi ya Yanga chini ya Mwenyekiti wake, Malangwe Ally Mchungahela imetoa matokeo ya awali ya Usaili kuelekea uchaguzi wa klabu hiyo July 10, 2022

NAFASI YA RAIS
1.Injinia Hersi Said

MAKAMU WA RAIS
1.Arafat Haji
2.Suma Mwaitenda

WAJUMBE
1.Alexander Francis Ngai
2.Saad Khimjy
3.Dominic Albinus
4.Benjamin Jackson Mwakasona
5.Leevan Spanish Maro
6.Munir Said Seleman
7.Semi Yusufu Semi
8.Seif Gulamali
9.Salim Rupia
10.Willibard Kilenzi
11.Gerald Kihinga
12.Evarist Makaga
13.Omary Kimossa
14.Sylyveser Haule
15.Said Kamba
16.Rodgers Gumbo

UNAWEZA PIA KUSOMA👇👇👇

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.