MATOKEO Yanga SC vs Azam FC September 06 2022 (NBC Premier League 2022/2023)
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA
JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA
AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
MATOKEO Yanga SC vs Azam FC September 06 2022 (NBC Premier League 2022/2023)
Matokeo Yanga SC vs Azam Leo Jumanne September 06 2022,Young Africans vs Azam Live,Matokeo Yanga vs Azam Leo, Matokeo ya Yanga Leo Jumanne, Matokeo Yanga vs Azam tarehe 6 2022,Matokeo Yanga vs Azam, Azam vs Yanga Results, NBC Premier League Results, Matokeo ya Yanga vs Azam, Matokeo NBC Premier League Leo, Matokeo Azam vs Yanga.
Young Africans Sports Club, pia inajulikana kama Yanga, ni timu ya soka ya Tanzania yenye maskani yake mtaa wa Jangwani Jijini Dar es Salaam.
Klabu hiyo imekuwepo tangu 1935, na michezo yao ya nyumbani inafanyika kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.
Klabu hiyo inajulikana kama “Yanga,” ambayo inamaanisha “Wavulana wadogo.” Wameshinda Jumla ya mataji 28 ya Ligi Kuu Tanzania Bara na idadi ya Vikombe vya nyumbani, na wamecheza katika Mashindano mengi ya CAF Champions League.
Wametwaa Ubingwa wa Klabu Bingwa ya CECAFA mara tano, Klabu hiyo ikawa ishara ya harakati dhidi ya ukoloni, Matokeo Yanga SC vs Azam Leo Jumanne September 06 2022,Young Africans vs Azam Live,Matokeo Yanga vs Azam Leo, Matokeo ya Yanga Leo Jumanne, Matokeo Yanga vs Azam tarehe 6 2022,Matokeo Yanga vs Azam, Azam vs Yanga Results, NBC Premier League Results, Matokeo ya Yanga vs Azam, Matokeo NBC Premier League Leo, Matokeo Azam vs Yanga.
Vijana wa Kiafrika walianza kujitambulisha na wazalendo na wapigania Uhuru, Jambo ambalo lilipelekea chama cha siasa cha TANU kuchagua rangi ya njano na kijani kama rangi zao kuu.
Klabu iko katikati ya mchakato ambao utatoa 49% ya umiliki wa klabu kwa wawekezaji na 51% kwa wanachama wa klabu.
Klabu hiyo ina upinzani wa muda mrefu na Simba SC, timu kutoka upande wa pili wa Jiji mtaa wa Msimbazi.
Wanacheza kwenye derby ya Dar es Salaam (au jina maarufu Kariakoo Derby). Mchezo huo ulichaguliwa kuwa Derby ya tano Maarufu Barani Afrika.
Timu ya Soka ya Azam ni Klabu ya soka ya kitaaluma inayoshiriki Ligi Kuu ya Tanzania. Makao makuu ya klabu yapo Chamazi, Temeke, Dar es Salaam, Tanzania.
Hapo awali Klabu hiyo iliitwa Mzizima Football Club na ilianzishwa mwaka 2004, Mwaka 2005, ilibadili jina na kuitwa Azam Sports Club, na mwaka 2006, ikajulikana kama Azam Football Club.
KLABU ya Young Africans SC imelazimishwa sare ya 2-2 na Azam FC katika mchezo wa Ligi ya Tanzania Bara (NBC Premier League 2022/2023), Mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
Mabao ya Azam FC yote leo yamefungwa na walinzi, Daniel Amoah dakika ya 25 na Msenegal, Malickou Ndoye dakika ya 65, wakati ya Yanga yote yamefungwa na kiungo Mzanzibari, Feisal Salum ‘Fei Toto’ dakika ya 57 na 76.
Beki Djuma Shabani alipoteza nafasi ya kufunga dakika ya 69 baada ya mkwaju wake wa penalti kudakwa na kipa wa Azam FC Ali Ahamada.
Baada ya sare hiyo dhidi ya Azam FC, Yanga inafikisha pointi 7 baada ya awali kushinda mechi mbili, wakati Azam FC ikifikisha pointi tano baada ya wote kucheza mechi tatu.
Katika Mchezo wa awali, Wenyeji, Geita Gold wamelazimishwa sare ya 1-1 na Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara (NBC Premier League 2022/2023), Mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.
Kagera Sugar walikuwa wa kwanza kupata bao kupitia kwa Mshambuliaji Abeid Athumani dakika ya 44, kabla ya Suleiman Ibrahim kuisawazishia Geita Gold dakika ya 74.
Ni sare ya pili kwa Geita Gold baada ya awali kupoteza mechi moja mbele ya Simba na kutoa droo dhidi ya Azam FC.
Kwa Upande wa Kagera Sugar FC ni sare ya kwanza baada ya kupoteza mechi zote za awali ugenini mbele ya Simba na Azam FC.
Mwaka 2010 klabu hiyo ilihamia kwenye uwanja wake wa sasa unaojulikana kwa jina la Azam Complex Chamazi na Klabu hiyo imepewa majina ya utani “Wana Lambalamba, Mamilionea wa Chamazi, au The Bakers.”
Azam FC imefanikiwa kutwaa Ubingwa wa Michuano kumi ikiwemo Ligi Kuu Tanzania Bara (1), Mapinduzi Cup (5), Kagame Cup (2), Azam Sports Federation Cup (1) na Ngao ya Jamii (1).
Azam FC ilishinda Ligi hiyo bila kupoteza mchezo hata mmoja msimu wa 2013/2014, hivyo kuwa timu ya Pili katika historia ya Ligi hiyo kutimiza mafanikio hayo.
Klabu ya kwanza kufanya hivyo ilikuwa ni Simba SC msimu wa 2009/2010, Azam FC ilitoka sare ya bila kufungwa kwenye Ligi kwa michezo 38 iliyoanzia mzunguko wa 18 msimu wa 2012/2013 hadi mzunguko wa 4 msimu wa 2014/2015.Matokeo Yanga SC vs Azam Leo Jumanne September 06 2022,Young Africans vs Azam Live,Matokeo Yanga vs Azam Leo, Matokeo ya Yanga Leo Jumanne, Matokeo Yanga vs Azam tarehe 6 2022,Matokeo Yanga vs Azam, Azam vs Yanga Results, NBC Premier League Results, Matokeo ya Yanga vs Azam, Matokeo NBC Premier League Leo, Matokeo Azam vs Yanga.
Wakati huo Azam walicheza Jumla ya mechi 26, Mwaka 2015 klabu hiyo iliweka historia kwa kuwa ya kwanza katika historia ya mashindano ya klabu za Tanzania kutwaa Kombe la Kagame bila kuruhusu mpinzani kufunga bao.
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), ambalo awali lilikuwa Chama cha Soka Tanzania (FAT), ndilo Shirika linaloongoza soka nchini Tanzania.
TFF Inasimamia uendeshaji wa mfumo wa Ligi ya soka ya Tanzania, timu ya taifa ya kandanda ya Tanzania, na timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania na Ilianzishwa mnamo 1930 na inahusishwa na FIFA tangu 1964.
Shirikisho hilo lilianzishwa mwaka 1930 kama Chama cha Soka Tanganyika (TFA). Baadaye kilibadilishwa jina na kuitwa Chama cha Soka Tanzania (FAT) mwaka 1971 baada ya marekebisho makubwa ya Katiba yake.
FAT ilikuwepo hadi mwaka 2004 jina jipya la TFF lilipoanza kutumika baada ya Mkutano Mkuu wa chombo hicho uliofanyika December 27 mwaka huo huo.
Katiba ya sasa ya TFF ilianza kutumika January 15, 2006 kufuatia Mkutano Mkuu uliofanyika Dar es Salaam tarehe 14 na 15 January 2006.
Kwa sasa, Wallace Karia ndiye Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), akirithi nafasi ya Jamal Malinzi August 2017.
MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.
Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.
Tags: Azam vs Yanga Results, Matokeo Azam vs Yanga., Matokeo NBC Premier League Leo, Matokeo ya Yanga Leo Jumanne, Matokeo ya Yanga vs Azam, MATOKEO Yanga SC vs Azam FC September 06 2022 (NBC Premier League 2022/2023), Matokeo Yanga SC vs Azam Leo Jumanne September 06 2022, Matokeo Yanga vs Azam, Matokeo Yanga vs Azam Leo, Matokeo Yanga vs Azam tarehe 6 2022, NBC Premier League Results, Young Africans vs Azam Live