Nijuze Habari

Matokeo Yanga SC vs Azam FC

Filed in Michezo by on 10/01/2022 0 Comments
Nijuze Habari Application

Full-time
Young Africans SC 0-0 Azam FC (Penati 8-9)

Penalties
Young Africans SC ✅✅✅✅✅✅✅✅❎
Azam FC ✅✅✅✅✅✅✅✅✅

Klabu ya Young Africans imevuliwa Ubingwa na Azam FC kwenye Nusu Fainali ya Kwanza ya Kombe la Mapinduzi baada ya kushindwa kwa Penati 9-8 kutokana na kutoka sare ya 0-0 ndani ya dakika 90.

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.