Nijuze Habari

Matokeo Yanga SC vs Ihefu SC (ASFC)

Filed in Michezo by on 15/12/2021 0 Comments
Nijuze Habari Application

VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Young Africans SC imefanikiwa kutinga raundi ya nne ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cuo (ASFC).

Hiyo ni baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Ihefu SC ya Mbarali mkoani Mbeya kwenye Uwanja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

Mabao ya Young Africans SC yamefungwa na mshambuliaji Mkongo, Heritier Ebenezer Makambo aliyefunga mabao matatu peke yake (hattrick).

Baada ya kutikisa nyavu mara tatu, Heritier Makambo alikabidhiwa mpira wake.

telegram Nijuze Habari

Tags: , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.