Nijuze Habari

MATOKEO Yanga SC vs Mbeya Kwanza FC, May 20,2022

Filed in Michezo by on 20/05/2022 0 Comments

MATOKEO Yanga SC vs Mbeya Kwanza FC, May 20,2022Yanga SC vs Mbeya Kwanza FC, Young Africans SC vs Mbeya Kwanza FC, Yanga SC, Ligi Kuu Tanzania Bara, Ligi Kuu ya NBC, NBC Premier League, Jangwani Dar es salaam, Dar Young Africans, Ligi Kuu, NBC Premier League 2021/2022, Ligi Kuu ya NBC, Tanzania Premier League, Dar Young Africans, Young Africans SC, Mbeya Kwanza FC.MATOKEO Yanga SC vs Mbeya Kwanza FC, May 20,2022

Nijuze Habari Application

MATOKEO Yanga SC vs Mbeya Kwanza FC, May 20,2022 (NBC Premier League 2021/2022)

MATOKEO Yanga SC vs Mbeya Kwanza FC, May 20,2022Yanga SC vs Mbeya Kwanza FC, Young Africans SC vs Mbeya Kwanza FC, Yanga SC, Ligi Kuu Tanzania Bara, Ligi Kuu ya NBC, NBC Premier League, Jangwani Dar es salaam, Dar Young Africans, Ligi Kuu, NBC Premier League 2021/2022, Ligi Kuu ya NBC, Tanzania Premier League, Dar Young Africans, Young Africans SC, Mbeya Kwanza FC.MATOKEO Yanga SC vs Mbeya Kwanza FC, May 20,2022

VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Young Africans SC wamejisogeza jirani mno na Ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu huu wa 2021/2022 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Mbeya Kwanza, mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

MATOKEO Yanga SC vs Mbeya Kwanza FC, May 20,2022

Mabao ya ushindi huo mnono wa Young Africans SC yamefungwa na Fiston Mayele Kalala dakika ya 33, Saido Ntibanzonkinza dakika ya 38, Dickson Ambundo dakika ya 45 na Heritier Ebenezer Makambo dakika ya 73.

MATOKEO Yanga SC vs Mbeya Kwanza FC, May 20,2022Baada ya ushindi huo Young Africans inafikisha pointi 63 baada ya kucheza michezo 25 na kuendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi 13 zaidi ya mabingwa watetezi, Simba SC ambao wamecheza michezo 24, wakati Mbeya Kwanza inaendelea kushika mkia kwenye Ligi yenye timu 16 ikibaki na pointi zake 21 baada ya kucheza michezo 25.MATOKEO Yanga SC vs Mbeya Kwanza FC, May 20,2022

Katika Mchezo mwingine wa mapema, Wenyeji Coastal Union FC wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Dodoma Jiji FC, mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.

MATOKEO Coastal Union FC vs Dodoma Jiji FC May 20,2022Mabao ya Coastal yamefungwa na Abdul Suleiman ‘Sopu’ yote mawili dakika ya 7 na 15, wakati bao pekee la Dodoma Jiji FC likifungwa na Anuary Jabir dakika ya 23.

Baada ya Ushindi huo Coastal Union FC wanafikisha pointi 31 na kusogea nafasi ya 9, huku Dodoma Jiji ikibaki na pointi zake 28 Katika nafasi ya 11 baada ya wote kucheza michezo 25

MATOKEO Namungo FC VS Tanzania Prisons FC May 20,2022Mchezo mwingine wa Ligi Kuu Tanzania Bara Leo Ijumaa, Wenyeji Namungo FC wamelazimishwa sare ya kufungana mabao 3-3 na Tanzania Prisons, mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Ilulu mjini Lindi.

Mabao ya Namungo FC yamefungwa na Haruna Shamte dakika ya 5, Nurdine Chona aliyejifunga dakika ya 65 na Lucas Kikoti dakika ya 86, wakati ya Prisons yamefungwa na Ezekia Mwashilindi dakika ya 8, Jumanne Elfadhili kwa penati dakika ya 56 na Moses Kitundu dakika ya 77.

MATOKEO Namungo FC VS Tanzania Prisons FC May 20,2022Kwa matokeo hayo, Namungo wanafikisha pointi 37 na kuendelea kushika nafasi ya tatu, wakati Tanzania Prisons wakifikisha pointi 24 na kusogea kwa nafasi moja juu hadi ya 14 baada ya wote kucheza michezo 25.

UNAWEZA PIA KUSOMA👇👇👇

MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUINGIA KIDATO CHA TANO 2022

AJIRA za Sensa ya Watu na Makazi 2022, Tazama hapa jinsi ya kujaza fomu

MORRISON atemwa Simba SC, mwenyewe afunguka ukweli

MATOKEO Simba SC vs Pamba FC May 14,2022 ( Robo Fainali ASFC)

MATOKEO Yanga SC vs Dodoma Jiji FC, May 15,2022

MSIMAMO + Vinara wa Ufungaji NBC Premier League May 15,2022

MAGAZETI ya Tanzania Jumanne May 17,2022

RATIBA raundi ya 25 NBC Premier League 2021/2022

MAGAZETI ya Tanzania Jumatano May 18,2022

MATOKEO Azam FC vs Simba SC, May 18,2022

MAGAZETI ya Tanzania Alhamisi May 19,2022

MAGAZETI ya Tanzania Ijumaa May 20,2022

KIKOSI Cha Tanzania Kufuzu AFCON 2023

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.