Nijuze Habari

MATOKEO Yanga SC vs Polisi Tanzania FC, June 22,2022 NBC Premier League

Filed in Michezo by on 22/06/2022 0 Comments

Young Africans SC vs Polisi Tanzania FC FC, Yanga SC, Ligi Kuu Tanzania Bara, Ligi Kuu ya NBC, NBC Premier League, Jangwani Dar es salaam, Dar Young Africans, Ligi Kuu, NBC Premier League 2021/2022, Ligi Kuu ya NBC, Tanzania Premier League, Dar Young Africans, Young Africans SC, Polisi Tanzania FC, Polisi Tanzania FC vs Young Africans SC, Polisi Tanzania FC vs Yanga SC.MATOKEO Yanga SC vs Polisi Tanzania FC, June 22,2022 NBC Premier League

Nijuze Habari Application

MATOKEO Yanga SC vs Polisi Tanzania FC, June 22,2022 NBC Premier LeagueMATOKEO Yanga SC vs Polisi Tanzania FC, June 22,2022 NBC Premier League

Young Africans SC vs Polisi Tanzania FC FC, Yanga SC, Ligi Kuu Tanzania Bara, Ligi Kuu ya NBC, NBC Premier League, Jangwani Dar es salaam, Dar Young Africans, Ligi Kuu, NBC Premier League 2021/2022, Ligi Kuu ya NBC, Tanzania Premier League, Dar Young Africans, Young Africans SC, Polisi Tanzania FC, Polisi Tanzania FC vs Young Africans SC, Polisi Tanzania FC vs Yanga SC.MATOKEO Yanga SC vs Polisi Tanzania FC, June 22,2022 NBC Premier League

Mabingwa wapya wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League) Young SC wamezidi kuustawisha Ubingwa wao baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Polisi Tanzania, kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

MATOKEO Yanga SC vs Polisi Tanzania FC, June 22,2022 NBC Premier LeagueMabao ya Young Africans SC yamefungwa na Feisal Salum Abdallah ‘Fei Toto’ dakika ya 12 na Chico Ushindi Wakubanza dakika ya 17 na kwa ushindi huo Young Africans wanafikisha pointi 70 baada ya kucheza michezo 28 wakiwazidi pointi 13 washindi wa pili tayari, Simba SC ambao wamecheza michezo 28 pia.

MATOKEO Yanga SC vs Polisi Tanzania FC, June 22,2022 NBC Premier LeaguePolisi Tanzania wao wnabaki na pointi zao 36 baada ya kucheza michezo 28 wakiwa nafasi ya saba.

Mechi nyingine ya Ligi Kuu leo, wenyeji KMC FC wameitandika Mbeya Kwanza mabao 4-1 kwenye Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.

UNAWEZA PIA KUSOMA PIA👇

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.