Nijuze Habari

Matokeo Yanga SC vs Taifa Jang’ombe

Filed in New by on 05/01/2022 0 Comments
Nijuze Habari Application

MABINGWA watetezi, Yanga SC wameanza vyema michuano ya Kombe la Mapinduzi baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Taifa Jang’ombe Kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar.

Mabao ya Yanga SC yamefungwa na mshambuliaji Mkongo, Heritier Ebenezer Makambo dakika ya 32 na kiungo mpya, Dennis Nkane kwenye dakika ya 53.

telegram Nijuze Habari

Tags: , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.