Nijuze Habari App

MATOKEO Yanga vs Magereza Fc Leo 29 Julai 2023

Filed in Michezo by on 29/07/2023 0 Comments
Share This
 

SHINDA 50,000 BURE KILA SIKU BONYEZA HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

MATOKEO Yanga vs Magereza Fc Leo 29 Julai 2023

MATOKEO Yanga vs Magereza Fc Leo 29 Julai 2023, Yanga vs Magereza Fc Leo 29 Julai 2023, Yanga vs Magereza Fc, Yanga 10-0 Magereza Fc leo, Matokeo Young Africans vs Magereza FC leo.

Katika kujiweka sawa kuelekea msimu mpya wa 2023/2023 Klabu ya Yanga leo Julai 29, 2023 imecheza mchezo wa Kirafiki.

Yanga imecheza mchezo huo wa kirafiki dhidi ya timu ya Magereza Fc kwenye Uwanja wa Avic Town Jijini Dar es Salaam ambapo Klabu hiyo imeweka kambi ya maandilizi ya msimu ujao.

Katika mchezo huo Young Africans imefanikiwa kuibuka na ushindi mnono wa mabao 10 – 0, mabao yakifungwa na Kennedy Musonda mabao 3, Clement Mzize mabao 3, Skudu Makubela bao 1.

Wafungaji wengine ni Stephen Aziz Ki, Pacôme Zouzoua na Max Nzengeli wote wakifunga bao moja moja.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *