Nijuze Habari

MATUKIO Katika Picha, Yanga walivyokabidhiwa kombe la Ubingwa wa Ligi

Filed in Michezo by on 25/06/2022 0 Comments

MATUKIO Katika Picha, Yanga walivyokabidhiwa kombe la Ubingwa wa LigiSHAMRASHAMRA zinaendelea mkoani Mbeya kwa wachezaji kusherehekea Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League) waliotwaa msimu huu wa 2021/2022.

Nijuze Habari Application

MATUKIO Katika Picha, Yanga walivyokabidhiwa kombe la Ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara (NBC Premier League 2021/2022) Jijini Mbeya.

MATUKIO Katika Picha, Yanga walivyokabidhiwa kombe la Ubingwa wa LigiSHAMRASHAMRA zinaendelea mkoani Mbeya kwa wachezaji kusherehekea Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League) waliotwaa msimu huu wa 2021/2022.

MATUKIO Katika Picha, Yanga walivyokabidhiwa kombe la Ubingwa wa LigiKlabu hiyo imekabidhiwa taji la Ligi Kuu walilotwaa msimu huu wa 2021/2022 baada ya mchezo dhidi ya Mbeya City uliomalizika kwa sare ya bao 1-1 na kufanikiwa kutwaa ubingwa huo pasipo kupoteza mchezo wowote katika Ligi mpaka sasa ukiwa ni ubingwa wa 28 wa Ligi kuu.

MATUKIO Katika Picha, Yanga walivyokabidhiwa kombe la Ubingwa wa LigiShamra shamra zimeanzia mkoani Mbeya na zitahitimishwa Jijini Dar es salaam kesho Jumapili ya June 26,2022 kuanzia saa 5:00 asubuhiMATUKIO Katika Picha, Yanga walivyokabidhiwa kombe la Ubingwa wa Ligi

MATUKIO Katika Picha, Yanga walivyokabidhiwa kombe la Ubingwa wa Ligi Hii hapa ni ratiba kamili ya sherehe na mapokezi ya ubingwa kesho Jumapili ya tarehe 26/06/22 Dar es Salaam.

👉SAA 5 ASUBUHI – Timu kuwasili Uwanja wa Ndege wa Mwl. Nyerere
👉SAA 5:30 ASUBUHI – Msafara Timu Kuondoka Uwanja wa Ndege
👉SAA 6 MCHANA – Kuwasili Viongozi wa Matawi na Wazee Jangwani
👉SAA 8 MCHANA – Timu Kuwasili Makao Makuu Jangwani
👉SAA 8:15 MCHANA – Dua Wazee Na Wachezaji
👉SAA 8:30 MCHANA – Wachezaji Kupanda Juu Ya Jengo La Makao
Makuu Kuonyesha Kombe
👉SAA 9 ALASIRI – Chakula Cha Mchana
👉SAA 9:30 ALASIRI – Timu Kuondoka Jangwani Kwenda Samora
👉SAA 10 ALASIRI – Timu Kuwasili Salamander Tower
👉SAA 10:30 ALASIRI Burudani – Chubby Twins
👉SAA 11 Jioni – Burudani – Sir Jay Kuwakaribisha Wachezaji
👉Burudani – Madee, Mzee Wa Bwax, Marioo
👉SAA 12:30 Jioni – Kufungua Shampeni
👉SAA 1 Usiku – Kufyatua Mafataki

MWISHO WA SHEREHE

DOWNLOAD APP MPYA YA NIJUZE HABARI BURE HAPA

UPATE KUTAZAMA MECHI LIVE, MAGAZETI YA KILA SIKU ASUBUHI PAMOJA NA HABARI NYINGINE NYINGI.

TEMBEA NA DUNIA MKONONI MWAKO UKIWA NA APP HII, FURAHIA HABARI NA MATUKIO KILA WAKATI.

Download Bure App mpya ya Nijuze Habari kuweza kuangalia Mpira na utaweza kuona matokeo na ratiba ligi zote kubwa Duniani.

DOWNLOAD APP MPYA YA NIJUZE HABARI BURE HAPAAPP HII PIA INAKUSOGEZEA

👉HABARI ZA KITAIFA NA KIMATAIFA
👉HABARI ZA MICHEZO NA USAJILI
👉BREAKING NEWS
👉ELIMU NA AFYA
👉KUTAZAMA MECHI MUBASHARA
👉TAARIFA YA HABARI NA VIPINDI MBALIMBALI
👉MAPENZI NA MAHUSIANO
👉AUDIOS MPYA KILA SIKU
👉BURUDANI
👉MAISHA
👉AJIRA MPYA KILA SIKU
👉GOSPEL
👉MAKALA.

BOFYA 👉👉👉 HAPA KUDOWNLOAD BURE

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.