Nijuze Habari App

MAYELE Atambulishwa rasmi Pyramids

Filed in Michezo, New, Usajili by on 31/07/2023 0 Comments
Share This
 

SHINDA 50,000 BURE KILA SIKU BONYEZA HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

MAYELE Atambulishwa rasmi Pyramids

MAYELE Atambulishwa rasmi Pyramids, Klabu ya Pyramids ya Misri imemtambulisha Mshambuliaji wa Kimataifa wa DR Congo, Fiston Kalaa Mayele kuwa mchezaji wao mpya akitokea Young Africans.

Mayele anaondoka Young Africans baada ya kuitumikia Klabu hiyo kwa misimu miwili huku akimaliza nafasi ya pili kwenye kinyang’anyiro cha ufungaji Bora kwenye msimu wake wa kwanza wa 2021/2022 kabla ya kushinda kiatu cha Ufungaji Bora (magoli 17) kwenye msimu wake wa pili wa 2022/2023 sambamba na kuibuka mchezaji Bora wa msimu (MVP) wa Ligi Kuu Tanzania.

Mayele anaondoka Yanga baada ya kuisaidia kutwaa taji la Ligi Kuu mara 2, FA Cup 2, Ngao ya Jamii mara mbili na kuisaidia Yanga kucheza Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa mara ya kwanza katika historia msimu wa 2022/2023 akiwa Mfungaji bora wa Michuano hiyo akimaliza na magoli 7.

Alianza na mabao 16 msimu wa kwanza na kukikosa kiatu cha dhahabu kilichokwenda kwa George Mpole aliyekuwa Geita Gold na kufunga mabao 17, huku msimu wa pili akitupia mabao 17 na kumaliza kinara sawa na Saido Ntibazonkiza wa Simba.

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

Msimu uliopita, alifunga mabao mengine 14 katika mashindano ya CAF, alifunga kwanza mara saba katika mechi za awali za Ligi ya Mabingwa, kisha mengine saba katika Kombe la Shirikisho Afrika.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *