Mayele Mshambuliaji Bora NBC Premier League

Filed in Michezo by on 07/02/2022 0 Comments
Nijuze Habari Application

MSHAMBULIAJI wa Klabu ya Young Africans SC, Fiston Kalala Mayele amechaguliwa mchezaji bora Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC mwezi Januari, 2022.

Kikao cha kamati ya Tuzo cha TFF kilichokutana mwishoni mwa wiki kilichokutana mwishoni mwa juma kimemchagua Mayele baada ya kuonyesha kiwango kizuri na kuisadia timu yake kupata ushindi katika mechi mbili.

Mayele anakuwa mcheaji wa tano kushinda tuzo hiyo akiwashinda Realiants Lusajo wa Namungo Fc, Tepsea Evans wa Azam Fc, alioingia nao fainali.

MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *