Nijuze Habari App

Mayele, Saido Ntibazonkiza watwaa tuzo ya Ufungaji Bora 2022/2023

Filed in Michezo, New by on 13/06/2023 0 Comments
Share This
 

SHINDA 50,000 BURE KILA SIKU BONYEZA HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Mayele, Saido Ntibazonkiza watwaa tuzo ya Ufungaji Bora 2022/2023

Mayele, Saido Ntibazonkiza watwaa tuzo ya Ufungaji Bora 2022/2023, Mshambuliaji Fiston Mayele wa Young Africans na Kiungo Mshambuliaji Saido Ntibazonkiza wa Simba SC, wote wameshinda Tuzo ya Ufungaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC 2022/23.

Mayele raia wa DR Congo na Saido wa Burundi kila mmoja alifunga mabao 17 hivyo Kamati ya Tuzo ilikaa na kuangalia kanuni zinaelekezaje wachezaji wanapofunga mabao na kuamua kila mmoja kupata Tuzo hiyo.Mayele, Saido Ntibazonkiza watwaa tuzo ya Ufungaji Bora 2022/2023

Mayele ambaye ameenda kwenye majukumu ya timu yake ya Taifa DR Congo tuzo yake ilipokelewa na mke wake ambaye aliwashukuru kwa tuzo hiyo.

Hata hivyo Mayele amezungumza akiwa kwenye kambi ya timu ya Taifa akisema; “Nashukuru wote kuanzia viongozi, wachezaji, mashabiki walionipa sapoti kubwa.Mayele, Saido Ntibazonkiza watwaa tuzo ya Ufungaji Bora 2022/2023

“Hata mechi ya mwisho nililazimika kucheza huku nikipewa sapoti kubwa sana, natamani ningekuwepo ila nipo kwenye majukumu ya timu ya Taifa,” amesema Mayele

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

Mayele, Saido Ntibazonkiza watwaa tuzo ya Ufungaji Bora 2022/2023Saido yeye pia ameushukuru Uongozi wa Geita Gold na Simba SC kumsaidia kubeba kiatu hicho cha Ufungaji Bora Msimu huu wa 2022/23.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *