Nijuze Habari App

Mbeya City kucheza na Mashujaa, KMC FC yabaki Ligi Kuu ya NBC

Filed in Michezo, New by on 16/06/2023 0 Comments
Share This

SHINDA 50,000 BURE KILA SIKU BONYEZA HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Mbeya City kucheza na Mashujaa, KMC FC yabaki Ligi Kuu ya NBC

Mbeya City kucheza na Mashujaa, KMC FC yabaki Ligi Kuu ya NBC, Klabu ya ya KMC ya Kinondoni imefanikiwa kusalia Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Mbeya City, mchezo uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.

Mabao ya KMC katika mchezo huo wa marudiano wa mchujo wa kukwepa kuteremka daraja yamefungwa na Daruwesh Saliboko dakika ya 3 na Awesu Awesu dakika ya 28.

Mbeya City kucheza na Mashujaa, KMC FC yabaki Ligi Kuu ya NBCKMC inabaki Ligi Kuu kwa ushindi wa jumla wa 3-2 kufuatia kufungwa 2-1 kwenye mchezo wa kwanza Jumanne hii Jijini Mbeya na sasa Mbeya City itakwenda kumenyana na Mashujaa ya Kigoma kujaribu tena kubaki Ligi Kuu.

Donwload Magoli – KMC 2-0 Mbeya City – Play-Off 16-06-2023

KMC walitofautiana kwa alama moja katika Msimamo wa Ligi ya NBC 2022/2023, wakimaliza na pointi 32 huku Mbeya City wakimaliza na pointi 31.

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

Mbeya City imebakiza nafasi moja ya lala salama watakapokutana na Mashujaa ya Mkoani Kigoma  kucheza play off itakayoamua safari yao ya kubaki Ligi Kuu msimu ujao au kushuka mpaka Ligi ya Championship.

Mchezo huo wa muhimu kwa timu zote mbili unatarajiwa kupigwa tarehe 19 katika Uwanja wa Lake Tanganyika na ule wa marudiano utapigwa tarehe 24 June kwenye uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *