LIVE AL AHLY VS WYDAD AC Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Leo Saa 3:00 Usiku. 

Mchongo wa kwenda South Africa kuishuhudia Yanga vs Malumo Gallants uko hivi

Filed in Michezo by on 02/05/2023 0 Comments
Share This
NIJUZE HABARI WHATSAPP GROUP

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Nijuze TV App, Mpira Kiganjani Mwako

Mchongo wa kwenda South Africa kuishuhudia Yanga vs Malumo Gallants uko hivi

Mchongo wa kwenda South Africa kuishuhudia Yanga vs Malumo Gallants uko hivi

Mchongo wa kwenda South Africa kuishuhudia Yanga vs Malumo Gallants uko hivi

Klabu ya Yanga imetoa fulsa kwa watu 10 kusafiri na kikosi kuelekea Afrika Kusini kushuhudia mchezo wa mkondo wa pili Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup 2022/2023) kati ya Malumo Galants dhidi ya Yanga ambao utapigwa May 17,2023.

Wananchi hao watapatikana kupitia Droo kubwa itakayofanyika Miongoni mwa wale Watakaoshiriki Shindano Maalum.

Kushiriki ‘mchongo’ huo ni rahisi sana, ingia kwenye menu ya malipo kwenye simu yako, Chagua LIPA BILI, kisha ingiza namba ya kampuni 553111.

Namba ya kumbukumbu andika YANGA au 111 kisha weka kiasi cha shilingi 2,000. Thibitisha malipo yako na uingize namba ya siri.

Kadiri unavyoshiriki mara nyingi ndivyo unavyojiongezea nafasi ya kushinda.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA

Share This

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *