Nijuze Habari App

MFUMO wa maombi ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA) Online

Filed in Habari, Makala by on 03/04/2023 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


 

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

MFUMO wa maombi ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA) Online

jinsi ya kupata kitambulisho cha nida,nida online registration,picha ya kitambulisho cha taifa,nida online copy,namba ya nida online,jinsi ya kupata namba ya nida vodacom,jinsi ya kupata kitambulisho cha taifa kwa haraka,www.nida.go.tz id copy download,jinsi ya kupata kitambulisho cha nida.

NIDA waleta mfumo wa kuomba Kitambulisho cha Taifa (NIDA) mtandoni badala ya kujaza fomu kwa mtendaji wa Kata/Kijiji.

Mfumo wa maombi ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA) Online

Mfumo wa maombi ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA) Online

 

Mfumo wa maombi ya Kitambulisho cha Taifa.

Hii ni huduma inayomuwezesha mwombaji wa kitambulisho cha Taifa (Raia au Mgeni mkazi) Kujaza Fomu ya maombi ya Kitambulisho cha Taifa kwa njia ya Kielektroniki akiwa mahali popote.

Baada ya kujaza fomu hiyo, Mwombaji atatakiwa kuichapisha (Print) na kuiwasilisha pamoja na vielelezo vingine katika Ofisi ya NIDA (Wilaya) iliyo karibu naye kwa ajili ya kukamilisha usajili wa alama za Biometria.SOMA ZAIDI

VIELELEZO VYA LAZIMA KWA RAIA VINAVYOHITAJIKA WAKATI WA UOMBAJI WA KITAMBULISHO CHA TAIFA

 1. Cheti cha kuzaliwa cha mwombaji
 2. Nakala ya cheti cha kuzaliwa / kiapo cha mzazi mmoja.
 3. Kama uraia wa mwombaji ni wakurithi: thibitisha kwa nakala ya cheti cha kuzaliwa au nakala ya kitambulisho cha Taifa cha mzazi mmoja.
 4. Kama uraia wa mwombaji ni wa kujiandikisha, thibitisha kwa nakala ya uraia wa kujiandikisha (Dossier Number) ya mwombaji.

Utakachofanya ni kujaza fomu mtandaoni kila kitu ni mtandaoni na kupata kitambulisho ni mtandaoni.

LEGAL RESIDENT MANDATORY DOCUMENT FOR NIDA CARD APPLICATION

 1. Passport Number.
 2. Resident Permit / Work Permit

NIDA Online Application – Register And Sign Here, NIDA Online, Kitambulisho cha Taifa, Kitambulisho cha NIDA, Copy ya NIDA, Copy ya Kitambulisho cha Taifa,  Online Application 2023 https://eonline.nida.go.tz/, NIDA Online Application 2023, https://eonline.nida.go.tz/ https://eonline.nida.go.tz/ NIDA Online Application – https://eonline.nida.go.tz/

This is a service that enables the National ID applicant (Citizen or resident alien) to fill out the National ID application form electronically from anywhere.

After filling the form, the applicant will be required to print it and submit it along with other documents to the NIDA Office (district) near him to complete the registration of biometric marks.

Kuomba Kitambulisho cha Taifa mtandaoni (online registration/application) tafadhali bofya kiunganishi hiki: https://eonline.nida.go.tz/

Mfumo wa maombi ya Kitambulisho cha Taifa.

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 
NIDA Online Application 2023 https://eonline.nida.go.tz/

NIDA Online Application 2023 https://eonline.nida.go.tz/

The following below is how to open account for Online application of Tanzania E-National ID

 • Visit official website link https://eonline.nida.go.tz/
 • Then Click on Create account button
 • After page open fill need information’s which are as follows;
  • Email Address
  • Password
  • Confirm Password
  • Select citizenship type
   • Citizen
   • Legal Resident
   • Refugee
  • Enter captcha text
 • Finally click create account button.

NIDA Online Registration link https://eonline.nida.go.tz/Account/Register

NIDA Online Application – https://eonline.nida.go.tz/

NIDA Online Application – https://eonline.nida.go.tz/

NIDA Online Application 2023 https://eonline.nida.go.tz/

Login

NIDA Online Application – https://eonline.nida.go.tz/

The following below is how to access or login your account for Online application of Tanzania E-National ID;

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

MFUMO wa maombi ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA) Online

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , , , , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *