Nijuze Habari App

Miguel Ángel Gamondi Kocha mpya Young Africans

Filed in Michezo, New, Usajili by on 24/06/2023 0 Comments
Share This
 

SHINDA 50,000 BURE KILA SIKU BONYEZA HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Miguel Ángel Gamondi Kocha mpya Young Africans

Miguel Ángel Gamondi Kocha mpya Young Africans, KLABU ya Yanga imemtambulisha Miguel Ángel Gamondi raia wa Argentina mwenye umri wa miaka 59 kuwa kocha wake mpya akirithi mikoba ya Nasredeen Mohamed Nabi aliyeondoka mwishoni mwa msimu huu wa 2022/2023.

Kocha huyo ametambulishwa mchana huu katika Mkutano Mkuu wa mwaka wa klabu uliofanyika kwenye ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam.

Gamondi, ambaye ni mzaliwa wa mji wa Olavarría, alianza kama mchezaji katika klabu ya nyumbani kwao, Ferrocarril Sud na alipostaafu mwaka 1987 akahamia kwenye ukocha.

Alianza kufundisha klabu za kwao Ferrocarril Sud, Racing, El Fortín, San Martín de Tucumán na Racing Club de Avellaneda kabla ya kuja Afrika.

Miguel Ángel Gamondi Kocha mpya Young Africans,Huyu Ndio Kocha Mpya Yanga Waliomtangaza Leo,Miguel Ángel Gamondi ndiye Kocha mpya Young Africans,Miguel Ángel Gamondi Kocha Mkuu Yanga,Miguel Ángel Gamondi Kocha mpya Young Africans,Miguel Ángel Gamondi Kocha mpya Yanga 2023,Miguel Ángel Gamondi Kocha mpya Yanga sc,Miguel Ángel Gamondi amrithi Nabi Yanga, Miguel Ángel Gamondi Mrithi wa Nabi Yanga.Mwaka 2000 alikuwa Msaidizi wa Muargentina mwenzake, Oscar Fulloné katika klabu ya Al-Ahly ya Libya kabla ya kuhama naye kwenye timu ya taifa ya Burkina Faso December mwaka 2001.
Gamondi pia amewahi kuwa Kocha Msaidizi wa ASEC Mimosas ya Ivory Coast, Wydad Casablanca ya Morocco, Espérance na Étoile du Sahel za Tunisia kabla ya kuwa Msaidizi wa Muargentina mwenzake mwingine, Ángel Cappa katika klabu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini mwaka 2005.
Kwa mara ya kwanza alikuwa Kocha Mkuu wa klabu ya Platinum Stars ya Afrika Kusini December mwaka 2007 na kuiongoza timu hiyo kufika hatua ya 16 Bora ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika mwaka 2008.
Baadae akazifundisha CR Belouizdad na USM Alger za Algeria, Ittihad Kalba na Al Urooba za Falme za Karabu (UAE), Hassania Agadir, Wydad AC na Ittihad Tanger za Morocco kama Kocha Mkuu na kwa mafanikio.
Mara ya mwisho Gamondi alifundisha Ittihad Tanger ambako alifukuzwa Aprili 2022 kwa pamoja na Msaidizi wake, Tarek Chihab.
Miguel Ángel Gamondi Kocha mpya Young Africans,Huyu Ndio Kocha Mpya Yanga Waliomtangaza Leo,Miguel Ángel Gamondi ndiye Kocha mpya Young Africans,Miguel Ángel Gamondi Kocha Mkuu Yanga,Miguel Ángel Gamondi Kocha mpya Young Africans,Miguel Ángel Gamondi Kocha mpya Yanga 2023,Miguel Ángel Gamondi Kocha mpya Yanga sc,Miguel Ángel Gamondi amrithi Nabi Yanga, Miguel Ángel Gamondi Mrithi wa Nabi Yanga.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *