Miili 11 ajali ya basi la Frester yahifadhiwa Hospitali

Filed in Habari by on 09/02/2023 0 Comments
Share This
NIJUZE HABARI WHATSAPP GROUP

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Nijuze TV App, Mpira Kiganjani Mwako

Miili 11 ajali ya basi la Frester yahifadhiwa Hospitali

Miili 11 yahifadhiwa Hospitali ajali ya basi la Frester

Miili 11 yahifadhiwa Hospitali ajali ya basi la Frester

Miili ya marehemu 11 kati ya 12 ya watu waliofariki katika ajali ya Basi kugongana na Lori usiku wa kuamkia hii leo February 9, 2023 eneo la Kijiji cha Msilwa kilichopo Pandambili Mkoani Dodoma, imepokelewa katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro

Kati ya waliofariki kwenye ajali hiyo iliyotokea katika kijiji cha Silwa Pandambili Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma ni Askari Polisi Koplo Hamisi huku Kaimu Mganga Mfawidhi hospitali ya Rufaa Mkoa Morogoro Dkt. Kessy Ngalawa amethibitisha kupokea miili hiyo.

MAJINA YA AJARI YA GARI YA FRESTER

Ajali hiyo, imehusisha Basi la abiria la kampuni ya Frester lililokuwa likitoka Bukoba kwenda Dar es Salaam kugongana uso kwa uso na Lori majira ya saa sita usiku iliyotokea Barabara kuu ya Dodoma Morogoro.

Miili 11 yahifadhiwa Hospitali ajali ya basi la Frester

Miili 11 yahifadhiwa Hospitali ajali ya basi la Frester

Kaimu Mganga Mfawidhi Hospitali ya Rufaaa Mkoa Morogoro Dokta Kessy Ngalawa amethibitisha kupokea miili hiyo ambapo amesema kati ya miili hiyo Wanaume 7 na Wanawake ni wanne akiwemo Mtoto wa miaka minne.

Mmoja wa ndugu wa Marehemu Koplo Hamis ambaye amejitambulisha kwa jina la Hamis Issa na kusema ndugu yake alikuwa anafanya kazi Mkoa wa Kipolisi Ilala na ajali imempata wakati akitoka kumchukua mtuhumiwa.

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA

Share This

Tags: ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *