Nijuze Habari

MRITHI wa Pablo Simba atajwa

Filed in Usajili by on 02/06/2022 0 Comments

MRITHI wa Pablo Simba atajwaIMEELEZWA kuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya APR ya Rwanda, Mohammed Adil Erradi raia wa Morocco ametua Dar es salaam kimya kimya kwaajili ya kufanya mazungumzo na uongozi wa Simba SC huku akiwa ameomba ruhusa ya mapumziko kwenye klabu yake.

Nijuze Habari Application

MRITHI wa Pablo Simba atajwaKlabu hiyo ina mpango wa kufanya mabadiliko makubwa kutokana na kutokuwa na matokeo mazuri ikishindwa kutetea mataji yake yote ambayo ni Ngao ya Jamii, Ligi Kuu Tanzania Bara na Kombe la Shirikisho la Azam Sports, huku ikibeba Kombe la Mapinduzi tu.

MRITHI wa Pablo Simba atajwaInatajwa kuwa Kocha huyo ameondoka nchini Rwanda tangu Ijumaa iliyopita kwaajili ya likizo ya kupisha ratiba ya mechi za timu za timu ya Taifa ya Rwanda, lakini kwa udukuzi wetu wa watu wa karibu tunafahamu kuwa Mohammed Adil ameitwa na Simba SC.

UNAWEZA PIA KUSOMA👇👇👇

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.