Nijuze Habari App

MSIMAMO Kundi E Kufuzu Kombe la Dunia 2026

Filed in Michezo by on 22/11/2023 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

MSIMAMO Kundi E Kufuzu Kombe la Dunia 2026

MSIMAMO Kundi E Kufuzu Kombe la Dunia 2026, Tanzania imepangwa kundi E kufuzu Kombe la Dunia 2026,Makundi Kufuzu FIFA World Cup 2026 ,Makundi ya Kombe la Dunia 2026,Kundi la Tanzania World Cup 2026,Haya Hapa Makundi Kufuzu World Cup 2026.

MSIMAMO Kundi E Kufuzu Kombe la Dunia 2026, Tanzania imepangwa kundi E kufuzu Kombe la Dunia 2026,Makundi Kufuzu FIFA World Cup 2026 ,Makundi ya Kombe la Dunia 2026,Kundi la Tanzania World Cup 2026,Haya Hapa Makundi Kufuzu World Cup 2026.

TIMU ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imepangwa Kundi E pamoja na Morocco, Zambia, Kongo, Niger na Eritrea katika mechi za kufuzu Fainali za Kombe la Dunia zitakazoandaliwa kwa pamoja na Canada, Mexico na Marekani.

TAIFA STARS YAPANGWA KUNDI E KUFUZU KOMBE KA DUNIA 2026

TAIFA STARS YAPANGWA KUNDI E KUFUZU KOMBE KA DUNIA 2026

Michezo ya kuwania hatua hiyo itachezwa kwa muda wa miaka miwili ambapo michezo ya kwanza itakuwa kati ya November 13 na 21 na itahitimishwa November 2025.

Mashindano hayo ya 23 yatahusisha timu 48 badala ya 32 kama ilivyozoeleka, hivyo Afrika pamoja na vyama vingine vya Soka vitapata nchi washiriki zaidi.

Kutokana na mabadiliko hayo, Mashindano ya Kombe la Dunia mwaka 2026 yataundwa na Makundi 12, kila kundi likiwa na timu nne ambapo itashuhudia idadi ya michezo ikiongezeka kutoka 64 hadi 104 na Mashindano yatachukua kati ya siku 38 hadi 40.

Huu hapa Msimamo wa Kundi E Kufuzu Kombe la Dunia 2026

Washindi wa pili Bora wanne watamenyana katika michuano mdogo na kinara atakamilisha idadi ya timu 10 zitakazoiwakilisha Afrika kwenye Kombe lijalo la Dunia.

KUFUZU Kombe la Dunia 2026 Tanzania yapangwa Kundi E, Tanzania imepangwa kundi E kufuzu Kombe la Dunia 2026,Makundi Kufuzu FIFA World Cup 2026 ,Makundi ya Kombe la Dunia 2026,Kundi la Tanzania World Cup 2026,Haya Hapa Makundi Kufuzu World Cup 2026.

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

 

CAF yatangaza mfumo mpya wa kufuzu kombe la dunia 2026,Kombe la dunia 2026: Tanzania mikononi mwa Morocco,Safari ya Tanzania Kombe la Dunia 2026,Stars kundi E kufuzu Kombe la Dunia,Makundi Kufuzu Kombe la Dunia 2026,Dira ya dunia,Habari za dunia.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *