Nijuze Habari

Msimamo NBC Premier League October 19,2021

Filed in Michezo by on 19/10/2021 0 Comments
Nijuze Habari Application

MSIMAMO wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League) baada ya kukamilika kwa Michezo miwili ya leo, ambapo Klabu ya Young Africans SC imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya KMC FC kwenye mchezo wa kwanza uliochezwa saa 10:00.

Mchezo mwingine ulikuwa wa saa 1:00 usiku Kati ya wenyeji Azam FC dhidi ya wageni Namungo FC kutoka Ruangwa Mkoani Lindi, ambapo Azam wamepata ushindi wa bao 1-0 dakika ya 89 kupitia kwa Mshambuliaji wake Idris Ilunga Mbombo.

Kileleni yupo ‘Mwananchi’ na mkiani yupo ‘Mtoza ushuru na hivi ndivyo mambo yalivyo hadi sasa zikiwa zimepigwa mechi sita za raundi ya tatu ya NBC Premier League.

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.