Nijuze Habari

MSUVA atua Saudi Arabia

Filed in Usajili by on 24/07/2022 0 Comments

Simon Msuva Al QadsiahKLABU ya Al Qadsiah inayoshiriki Ligi Daraja la Pili ya nchini Saudi Arabia imekamilisha Usajili wa Kiungo Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Simon Msuva mwenye umri wa miaka 28 kwa mkataba wa mwaka mmoja.

Nijuze Habari Application

MSUVA atua Saudi Arabia

Simon Msuva Al QadsiahKLABU ya Al Qadsiah inayoshiriki Ligi Daraja la Pili ya nchini Saudi Arabia imekamilisha Usajili wa Kiungo Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Simon Msuva mwenye umri wa miaka 28 kwa mkataba wa mwaka mmoja.

Usajili huo utamfanya Msuva akusanye Kiasi cha Dola 12,000 kwa wiki sawa na shilingi Milioni 28 za Kitanzania ambapo kwa mwezi atakuwa anapata dola 50,000 ambayo sawa na shilingi milioni 117 za Kitanzania.

Simon Msuva Al QadsiahHivi karibuni Msuva alifanikiwa kushinda kesi yake ya madai dhidi ya klabu yake ya zamani ya Wydad Casablanca inayoshiriki Ligi Kuu ya soka nchini Morocco ambapo klabu hiyo iliamuriwa kumlipa mchezaji huyo kiasi cha Shilingi Bilioni 1.6 za kitanzania.

Kabla ya kutua Saudi Arabia, Msuva alihusishwa na Vilabu vikubwa nchini vya Simba na Yanga, lakini sasa ni rasmi Msuva atahudumu katika klabu ya Al Qadsiah yenye makazi yake nchini Saudi Arabia.

CV ya Simon Msuva

Saimon Happygod Msuva (born 2 October 1993) is a Tanzanian professional football player who plays for Saudi Arabian club AlQadsiah and the Tanzania national team.

Saimon Msuva
Personal information
Full name: Saimon Happygod Msuva[1]
Date of birth: 02 October 1993 (age 28)
Place of birth: Dar es Salaam, Tanzania
Height: 1.70 m (5 ft 7 in)
Position(s): Winger / Second Striker.

Club information
Current team: Al-Qadsiah.

Senior career*
Years Team Apps (Gls)
2010–2011 Azam FC 35 (11)
2011–2012 Moro United 37 (15).
2012–2017 Yanga SC 94 (43).
2017–2020 Difaâ El Jadida 90 (43).
2020–2022 Wydad AC 44 (15)
2022– Al-Qadsiah 0 (0).

National team‡
2012– Tanzania 73 (17).

telegram Nijuze Habari

Tags: , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.