Mt. Kizito Makuburi – Mwamba Yesu kafufuka – Donwload Mp3

Filed in Audios by on 10/05/2023 0 Comments
Share This
NIJUZE HABARI WHATSAPP GROUP

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Nijuze TV App, Mpira Kiganjani Mwako

AUDIO | Mt. Kizito Makuburi – Mwamba Yesu kafufuka | Donwload Mp3

AUDIO | Mt. Kizito Makuburi - Mwamba Yesu kafufuka | Donwload Mp3

AUDIO | Mt. Kizito Makuburi – Mwamba Yesu kafufuka | Donwload Mp3

Kifo cha Msalaba ni adhabu ya aibu kwa wahalifu wakubwa katika enzi za utawala wa Kirumi.

Kwa upendo na msamaha wa Mungu, Yesu Kristo anakubali kuteswa hadi kufa msalabani kwa ajili ya wokovu wa wanadamu.

Baada ya yote hayo bado alishinda vita kwa kufufuka siku ya tatu, ni Mwamba imara usiotikisika.

Kwaya ya Mtakatifu Kizito Makuburi inakuletea wimbo unaomuelezea Yesu jemedari wa vita, na Mwamba aliyeshinda mauti kwa kujitoa sadaka.

AUDIO | Mt. Kizito Makuburi – Mwamba Yesu kafufuka | Donwload Mp3 bonyeza HAPA

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA

Share This

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *