Nijuze Habari

MWAMUZI Coastal Union vs Yanga SC (ASFC) July 02,2022 huyu hapa

Filed in Michezo by on 30/06/2022 0 Comments

MWAMUZI Coastal Union vs Yanga SC (ASFC) July 02,2022 huyu hapaREFA Ahmed Arajiga kutoka Manyara ndiye atakayechezesha mchezo wa Fainali ya Kombe la Shirikisho la Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) Kati ya Coastal Union FC ya Tanga na Young Africans ya Dar es Salaam Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha saa 9:00 Alasiri.

Nijuze Habari Application

MWAMUZI Coastal Union vs Yanga SC (ASFC) July 02,2022 huyu hapa

MWAMUZI Coastal Union vs Yanga SC (ASFC) July 02,2022 huyu hapaREFA Ahmed Arajiga kutoka Manyara ndiye atakayechezesha mchezo wa Fainali ya Kombe la Shirikisho la Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) Kati ya Coastal Union FC ya Tanga na Young Africans ya Dar es Salaam Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha saa 9:00 Alasiri.

Maofisa wengine wa mchezo huo wa Fainali watakuwa ni;

👉Kamishna wa mchezo: Somoe Ng’itu (Dar es Salaam)
👉Mratibu wa mchezo: Baraka Kizuguto (Dar es Salaam)
👉Mtathimini Waamuzi: Nassoro Hamduni (Kigoma)
👉Mwamuzi Msaidizi 1: Frank Komba (Dar es Salaam)
👉Mwamuzi Msaidizi 2: Janeth Balama (Iringa)
👉Mwamuzi wa Akiba: Ramadhan Kayoko (Dar es Salaam)
👉Ofisa Habari: Cliford Mario Ndimbo (Dar es Salaam)
👉Ofisa Masoko: Aaron Nyanda (Dar es Salaam)
👉Daktari wa Mchezo: Erick Onoka (Arusha)
👉Ofisa Itifaki: Irene Bernard (Dar es Salaam)
👉Ofisa Usalama: ASP Hashim Abdallah (Dodoma)
👉Msimamizi wa Kituo: Emmanuel Anthony (Arusha)

UNAWEZA PIA KUSOMA PIA👇

DOWNLOAD APP MPYA YA NIJUZE HABARI BURE HAPA

UPATE KUTAZAMA MECHI LIVE, MAGAZETI YA KILA SIKU ASUBUHI PAMOJA NA HABARI NYINGINE NYINGI.

TEMBEA NA DUNIA MKONONI MWAKO UKIWA NA APP HII, FURAHIA HABARI NA MATUKIO KILA WAKATI.

Download Bure App mpya ya Nijuze Habari kuweza kuangalia Mpira na utaweza kuona matokeo na ratiba ligi zote kubwa Duniani.

APP HII PIA INAKUSOGEZEA

👉HABARI ZA KITAIFA NA KIMATAIFA
👉HABARI ZA MICHEZO NA USAJILI
👉BREAKING NEWS
👉ELIMU NA AFYA
👉KUTAZAMA MECHI MUBASHARA
👉TAARIFA YA HABARI NA VIPINDI MBALIMBALI
👉KUSIKILIZA RADIO ONLINE
👉KUCHECK MOVIE (KIX CHANNEL, MAISHA MAGIC BONGO, MAISHA MAGIC EAST N.K)
👉 KUCHECK MIELEKA (WWE)
👉MAPENZI NA MAHUSIANO
👉AUDIO MPYA KILA SIKU
👉 AJIRA MPYA KILA SIKU
👉GOSPEL
👉MAKALA.

BOFYA 👉👉👉 HAPA KUDOWNLOAD BURE

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.